mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,246
- 13,995
Wewe ndio hujaelewa kabisa mada unaonekana ni kilaza japo unataka kujitutumua uonekane ni intelectual.
Mimi nina connections na watu 4000 nakosa nini kwa mfano.
Hatupo hapa kwenye hii mada eti kwa sababu tupo desperate sana na connections za wabongo la hasha.
Ila tupo hapa kuelimishana na watanzania wenzetu wajue umuhimu wa kufanya connections na watu mbalimbali na kwa mfano mimi nikikuomba connection haimaanishi kwamba mimi nahitaji unisaidie inawezekana nikakuomba connection wewe halafu badae nikakusaidia vile vile"HAPA NDIPO KUNA MISUNDERSTANDING".
Huu ustaarabu ndio watu weusi wameukosa,mimi naweza nikawa Senior kwako na wewe ni Junior lakini still nikakuomba connection hata kama hauna faida kwangu!
Hivi unajua maana ya neno MTANDAO?
Iko hivi wewe unaweza ukawa hauna faida kwangu na mimi nikawa sina faida kwako directly lakini tukaconnect then badae kuna mtu may be uliconnect naye ataniona umuhimu wangu atanitafuta, na mimi pia kuna watu wangu nilioconnect nao watakuona umuhimu wako watakutafuta.
Mwisho kabisa,nimewahi kutafutwa nikapewa kazi za maana mara 2 kupitia Linkedin bila kuomba only my CV impression thus why naijua umuhimu wake nyinyi ambao mnafikiri linkedin ni kama facebook au instagram endeleeni na mashauzi yenu.

Wewe unayehangaishwa na mambo ya kipumbavu pamoja na watu wa aina hiyo hamfai LinkedIn. Yawezekana hao uanowasema wameconnect na ninyi kwa kuwa hawawafahamu, lakini usishangae utakapoweka wazi upumbavu wako ukala block au ukawa ignored. Kama hapa tu mnaonekana kupwaya, itakuwaje LinkedIn?
Kwa watu wa aina yako na mtoa mada, hamtapata conncetions za Watanzania wengi ambazo ninyi mnaziita "kutaka urafiki" kwa sababu wanawafahamu viwango uchwara vyenu. Mtaconect na aho wasiowajua ambao hata hivyo hawatakuwa na airtime na ninyi.
Kwa moyo wa upendo na huruma, ninafeel namna mnafeel kwa kubaguliwa wakati pia mnandoto za kusonga mbele na kuwa na connections mbalimbali kwa aspirations tofauti zikiwemo mahusiano, taaluma, uchumi, elimu, biashara, n.k. n.k
Please try to make transform your level of understanding and attitudes before finger pointing at others for ignoring you. Siyo kila connection is worthy your time and dreams. Usilazimishe mahusiano. Hao wachache wanaokukubali, shirikiana nao kwa upendo katika kuboresha maisha na kutengeneza milango mingine kwa sasa na hata baadaye. Mtu asipokupokea usimtukane kwa kuwa humfahamu na hujui anamalengo gani na zaidi hujui kama ni wa msaada kwako au ni majuto yako.
Mungu anaweza kuwa amekupa mtu mmoja na pengine hata nje ya mitandao au nje ya nchi ambaye ni kiungo muhimu katika ndoto na juhudi zako za kusonga mbele kuliko hao unaolazimisha wakuunge. Kumbuka watu wapo na mipango n amalengo yao na si lazima wawe kwenye mipango yako. Hivyo ustaarabu si kuwalaumu na kuwatukana eti hawajakuunga. Kwa heri.