Watanzania wanaotumia LinkedIn ni washamba

Umomba connection kwa watanzania wote wenye account LinkedIn ukaona wanatabia sawa! Isije ilawa wewe ndio una matatizo maana ili mtu akukubali lazima muwe na skills, qualification zinazofanana. Jipambanue zaidi kwenye eneo la skills and qualification utapata wa kufanana na wewe.
Hahaaa kumkubalia mtu request ni mpaka mfanane skills na qualifications ? ,
 
Ninachokiona mshkaji unateseka San. .
Si kila mtu anaweka social media Priority,
BTW kwanini unafikiri ni vema kuhangaika na LinkedIn wakat tayari una kazi na Inakulipa vizuri?
Si kila mtu anafikiria kuhama kila mara ...
 
Ninachokiona mshkaji unateseka San. .
Si kila mtu anaweka social media Priority,
BTW kwanini unafikiri ni vema kuhangaika na LinkedIn wakat tayar una kaz na Inakulipa vizur?
Si kila mtu anafikiria kuhama kila mara ...
Kwani LinkedIn ni kwaajili ya kazi tu.
 
Habarini za leo wakuu,

Leo nimeona niwaletee mada hii wakuu.

Katika uchunguzi wangu niliofanya Linkedln nimegundua watanzania wenye akaunti LinkedIn

1. Ni washamba kwa maana kwamba hawajui maana ya mtandao wa LinkedIn

2. Profile zao za kitoto kwa maana kwamba hazivutii kabisa. Hawaja zipambanua vya kutosha, sijui wanakwama wapi.

3. Ukiwaomba urafiki hawakubali ni washamba sana. Wanadhani ule mtandao ni sawa na facebook.

4. Hasa hawa wanaofanya kazi kwenye vikampuni na vitaasisi vizuri ndio wanao jidai zaidi kwa vile wapo makazini basi hawaoni haja ya kutumia LinkedIn zaidi. Ila siku wakitumbuliwa ndio wanaanza kukuru kakara za kutafuta connection LinkedIn

5. Wanajiona sana na ndio sababu hawakubali kuwa na connection na watu wengine. Ndio sababu utakuta jitu lina connection ya watu 10 kwenye LinkedIn yake. Huu ni ushamba wa hali ya juu na ni aibu.
Wewe unadhani mtu akikuomba urafiki anakuomba kazi sio, acheni ushamba dunia imebadirika hii.

Mtu kama Bill gates tajiri wa dunia ana connect hadi na wakulima waliopo afrika wala hajali anaelewa nini maana ya LinkedIn.

6. Sijui shida iko wapi kwa watanzania wenzangu. Nyie mlio makazini mnakwama wapi kujipambanua kwenye account zenu za LinkedIn.

Wakuu nisaidie kuwaponda hawa watu mimi nimeishia hapa.

Watanzania wa LinkedIn wanaboa sana.

Utakuta kijamaa kinafanya kikazi cha mshahara laki saba basi kinavimba kichwwaaaaaaaa. Ukikiomba urafiki hakikujibu kinakaa kimya tu.

Je ungekuwa na mishahara kama ya kwetu ungefika wapi wewe.

Funguka acha ushamba wenzako tunachati na akina Jenifer Lopez Linkedln tunashauriana mambo mbalimbali.

Acheni ushamba na vikazi vyenu vya mishahara ya mboga.

Wewe ndiye uliyeleta uzi wa kuomba ajira?!
 
Nilimpa mtu pesa kuniandali profile kule ambayo imekaa kama dunia ya kwanza
 
Na ushamba zaidi ni pale mnapodhani LinkedIn is all about jobs connection, na hasa mnaposhindwa kufahamu kwamba sio kila anayekutumia request anataka connection na wewe bali wengine, tena wengi tu wanataka kukugeuza fursa through lead generation!
 
Washamba sana yaani
 
Back
Top Bottom