Watanzania wanaotumia LinkedIn ni washamba

Watanzania wanaotumia LinkedIn ni washamba

Umeitumiaje hiyo profile kuwafikia recruiters? Kuna namna nyingi za kuongeza visibility kwa potential employees. Mfano kuchangia kwenye posts zenye mwelekeo wa fani yako ukawashirikisha ujuzi wako ni moja ya njia hizo. Kuna na nyingine nyingi.

Fanya homework yako kujua unafeli wapi...
Kwa upande wangu mara nyingi huwa nawatumia CV dm pamoja na kuwaelezea kazi ambazo ninaweza kuzifanya na uzoefu nilionao.
Na ninafuraha kwamba wewe mkuu ni miongoni mwa watu nilio connect nao.
 
Kwa upande wangu mara nyingi huwa nawatumia CV dm pamoja na kuwaelezea kazi ambazo ninaweza kuzifanya na uzoefu nilionao.
Na ninafuraha kwamba wewe mkuu ni miongoni mwa watu nilio connect nao.
Hiyo ni namna mojawapo ingawa mara nyingi request zinakuwa nyingi sana na wengine huwa wanatumia Agents kufanya recruitment. Tafuta namna bora ambapo wahusika wataona kazi zako, si kwa jicho la kutafuta ajira bali kwa jicho la maonyesho. Mfano unaweza kuandika article za Marketing kama ni fani yako uki share ujuzi wake, kisha katika mifano unatolea mifano yako halisi na namna ulivyotumia kanuni fulani, changamoto na mafanikio yako. Hii itakupa visibility na upper hand pale watu wa kwenye network yako watapohitaji Marketing personnel ambaye ana match na CV yako.

Nimefurahi kuwa uko sehemu ya network yangu. Hope ulishatuma CV yako pia. Nakuombea hatimaye ufanikiwe!
 
Mimi nanufaika sana kupitia LinkedIn, ila natumia LinkedIn kujijengea umaarufu. Kuonyesha uwezo wangu, kuionyesha dunia na Tanzania kwa ujumla kwamba inavijana bado wa kuijenga ili kuonyesha positive impact.
Unateseka sana!
 
Mbona unatufokea ? Kila mtu ana namna ya kuendesha maisha Yake,,, usitake tufanane ,,, shwaini kabisa ,,,wahed
 
Tuvumiliane jamani mbona wote sisi ni weusi? tumetoka vijijini, haturudi tena lkn
 
LinkedIn ni nn
Naomba nikueleze kwa kiingereza maana kiswahili tutazungushana

LinkedIn is a social network specifically designed for career and business professionals to connect. ... LinkedIn is ideal for building connections for freelance work, a customer base, potential partners, or simply to keep your job prospects open.

LinkedIn is a valuable resource for career and business professionals to network; obtain resources and support; and build relationships with potential customers, clients, and partners. It's ideal for home-based business owners, freelancers, and telecommuters, as it can help them build their business and career, as well as stay connected to the outside world.

How to Use LinkedIn
LinkedIn has its own platform and system different from other networks, but learning how to use LinkedIn is no more difficult than learning how to use any other social networking site. Start by creating a personal LinkedIn account and profile.
 
Ninakuona hauko sawa. No wonder unakwenda kulazimisha urafiki na watu LinkedIn bila kujua kule si sehemu yako. Pole!
Acha kujitekenya mkuu, ukitaka kunifahamu vizuri mimi ni nani kamwuulize bill gate.
 
Habarini za leo wakuu,

Leo nimeona niwaletee mada hii wakuu.

Katika uchunguzi wangu niliofanya Linkedln nimegundua watanzania wenye akaunti LinkedIn

1. Ni washamba kwa maana kwamba hawajui maana ya mtandao wa LinkedIn

2. Profile zao za kitoto kwa maana kwamba hazivutii kabisa. Hawaja zipambanua vya kutosha, sijui wanakwama wapi.

3. Ukiwaomba urafiki hawakubali ni washamba sana. Wanadhani ule mtandao ni sawa na facebook.

4. Hasa hawa wanaofanya kazi kwenye vikampuni na vitaasisi vizuri ndio wanao jidai zaidi kwa vile wapo makazini basi hawaoni haja ya kutumia LinkedIn zaidi. Ila siku wakitumbuliwa ndio wanaanza kukuru kakara za kutafuta connection LinkedIn

5. Wanajiona sana na ndio sababu hawakubali kuwa na connection na watu wengine. Ndio sababu utakuta jitu lina connection ya watu 10 kwenye LinkedIn yake. Huu ni ushamba wa hali ya juu na ni aibu.
Wewe unadhani mtu akikuomba urafiki anakuomba kazi sio, acheni ushamba dunia imebadirika hii.

Mtu kama Bill gates tajiri wa dunia ana connect hadi na wakulima waliopo afrika wala hajali anaelewa nini maana ya LinkedIn.

6. Sijui shida iko wapi kwa watanzania wenzangu. Nyie mlio makazini mnakwama wapi kujipambanua kwenye account zenu za LinkedIn.

Wakuu nisaidie kuwaponda hawa watu mimi nimeishia hapa.

Watanzania wa LinkedIn wanaboa sana.

Utakuta kijamaa kinafanya kikazi cha mshahara laki saba basi kinavimba kichwwaaaaaaaa. Ukikiomba urafiki hakikujibu kinakaa kimya tu.

Je ungekuwa na mishahara kama ya kwetu ungefika wapi wewe.

Funguka acha ushamba wenzako tunachati na akina Jenifer Lopez Linkedln tunashauriana mambo mbalimbali.

Acheni ushamba na vikazi vyenu vya mishahara ya mboga.
Bibie ule ni mtandao wa professionals na siyo mtandao wa kawaida wa kijamii.
Pale unajieleza umahiri wa profession yako na siyo kutafuta marafiki wa kunywa chai.
Kama CV yako imesheheni na kitu inavutia lazima mtu atakuona na kukuita kwa either kazi au assigment ya kikazi.
Pale si mahali pa urafiki na maoni ya kitoto.
 
Habarini za leo wakuu,

Leo nimeona niwaletee mada hii wakuu.

Katika uchunguzi wangu niliofanya Linkedln nimegundua watanzania wenye akaunti LinkedIn

1. Ni washamba kwa maana kwamba hawajui maana ya mtandao wa LinkedIn

2. Profile zao za kitoto kwa maana kwamba hazivutii kabisa. Hawaja zipambanua vya kutosha, sijui wanakwama wapi.

3. Ukiwaomba urafiki hawakubali ni washamba sana. Wanadhani ule mtandao ni sawa na facebook.

4. Hasa hawa wanaofanya kazi kwenye vikampuni na vitaasisi vizuri ndio wanao jidai zaidi kwa vile wapo makazini basi hawaoni haja ya kutumia LinkedIn zaidi. Ila siku wakitumbuliwa ndio wanaanza kukuru kakara za kutafuta connection LinkedIn

5. Wanajiona sana na ndio sababu hawakubali kuwa na connection na watu wengine. Ndio sababu utakuta jitu lina connection ya watu 10 kwenye LinkedIn yake. Huu ni ushamba wa hali ya juu na ni aibu.
Wewe unadhani mtu akikuomba urafiki anakuomba kazi sio, acheni ushamba dunia imebadirika hii.

Mtu kama Bill gates tajiri wa dunia ana connect hadi na wakulima waliopo afrika wala hajali anaelewa nini maana ya LinkedIn.

6. Sijui shida iko wapi kwa watanzania wenzangu. Nyie mlio makazini mnakwama wapi kujipambanua kwenye account zenu za LinkedIn.

Wakuu nisaidie kuwaponda hawa watu mimi nimeishia hapa.

Watanzania wa LinkedIn wanaboa sana.

Utakuta kijamaa kinafanya kikazi cha mshahara laki saba basi kinavimba kichwwaaaaaaaa. Ukikiomba urafiki hakikujibu kinakaa kimya tu.

Je ungekuwa na mishahara kama ya kwetu ungefika wapi wewe.

Funguka acha ushamba wenzako tunachati na akina Jenifer Lopez Linkedln tunashauriana mambo mbalimbali.

Acheni ushamba na vikazi vyenu vya mishahara ya mboga.
Usitufokee.
 
Back
Top Bottom