Watanzania wanaotumia LinkedIn ni washamba

Habarini za leo wakuu,

Leo nimeona niwaletee mada hii wakuu.

Katika uchunguzi wangu niliofanya Linkedln nimegundua watanzania wenye akaunti LinkedIn

1. Ni washamba kwa maana kwamba hawajui maana ya mtandao wa LinkedIn

2. Profile zao za kitoto kwa maana kwamba hazivutii kabisa. Hawaja zipambanua vya kutosha, sijui wanakwama wapi.

3. Ukiwaomba urafiki hawakubali ni washamba sana. Wanadhani ule mtandao ni sawa na facebook.

4. Hasa hawa wanaofanya kazi kwenye vikampuni na vitaasisi vizuri ndio wanao jidai zaidi kwa vile wapo makazini basi hawaoni haja ya kutumia LinkedIn zaidi. Ila siku wakitumbuliwa ndio wanaanza kukuru kakara za kutafuta connection LinkedIn

5. Wanajiona sana na ndio sababu hawakubali kuwa na connection na watu wengine. Ndio sababu utakuta jitu lina connection ya watu 10 kwenye LinkedIn yake. Huu ni ushamba wa hali ya juu na ni aibu.
Wewe unadhani mtu akikuomba urafiki anakuomba kazi sio, acheni ushamba dunia imebadirika hii.

Mtu kama Bill gates tajiri wa dunia ana connect hadi na wakulima waliopo afrika wala hajali anaelewa nini maana ya LinkedIn.

6. Sijui shida iko wapi kwa watanzania wenzangu. Nyie mlio makazini mnakwama wapi kujipambanua kwenye account zenu za LinkedIn.

Wakuu nisaidie kuwaponda hawa watu mimi nimeishia hapa.

Watanzania wa LinkedIn wanaboa sana.

Utakuta kijamaa kinafanya kikazi cha mshahara laki saba basi kinavimba kichwwaaaaaaaa. Ukikiomba urafiki hakikujibu kinakaa kimya tu.

Je ungekuwa na mishahara kama ya kwetu ungefika wapi wewe.

Funguka acha ushamba wenzako tunachati na akina Jenifer Lopez Linkedln tunashauriana mambo mbalimbali.

Acheni ushamba na vikazi vyenu vya mishahara ya mboga.
Punguza hasira
 
Very immature way of forming an argument. A decent person can underline here who is mshamba the proposer of the accused.

We have a long way to go.
 
Jiangalie wewe usije ukawa ndiye mwenye tatizo hilo. Unawezaje kwenda kuomba urafiki LinkedIn? Unalazimishaje kila mtu akubali kuwa rafiki na kila mtu? Kule ni mahala pa kazi. Na ndiyo sababu mtu kabla hajarespond kwanza anaangalia profile yako kama inatija katika shughuli zake.

Ndiyo sababu wasimamizi wa LinkedIn wanakuambia omba connections na watu unaowafahamu siyo kuvamia vamia. Au uombe introduction na siyo kuparamia. Ukiona mtu kanyamaza hajakujibu ujue anajiheshimu vinginevyo angeweza kukujibu tofauti. Hapo siyo Instagram wala Facebook.

Kule watu wanatafuta maarifa na influence wewe unakwenda kutafuta urafiki.

Ushauri wangu, kama lengo lako ni kutaka marafiki huko si mahala pako.
 
Siyo kila aliye mtandaoni ni mwajiriwa

Afu mdogo wangu connection zikutafte ,utamaliza viatu kutafuta connection .

Think positively .
 
Sio vibaya ukiambatanisha profile yako ili washamba wajifunze kutoka kwako.
Ule ni mtandao unaowakutanisha watu wote katika nyanja tofauti tofauti, hivyo si vibaya ukatoa elimu juu ya matumizi.
Ukisema watanzania wote ni washamba wa mtandao ule utakuwa hujawatendea haki.
Pengine wao hawataki kujiunga/kukubalia connections kwa kukuona wewe ndiye mshamba.
 
Back
Top Bottom