Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
ntarudi
Usiwe negative sana, kama kuna Watanzania wawili watatu wako Linkedin wamekufanyia hivyo, ila usi generalize kwamba Watanzania wote walioko Linkedin wako hivyo. Hiyo ni generalization mbaya sana. Mimi ni mmojawapo ambao nipo Linkedin na nipo active sana kule, hadi sasa nina connections zaidi ya 3500; wengi wao wakiwa ni Watanzania na wapo active tuu na baadhi yao huwa nachati nao issues za kazi na opportunities zingine.Habarini za leo wakuu,
Leo nimeona niwaletee mada hii wakuu.
Katika uchunguzi wangu niliofanya Linkedln nimegundua watanzania wenye akaunti LinkedIn
1. Ni washamba kwa maana kwamba hawajui maana ya mtandao wa LinkedIn
2. Profile zao za kitoto kwa maana kwamba hazivutii kabisa. Hawaja zipambanua vya kutosha, sijui wanakwama wapi.
3. Ukiwaomba urafiki hawakubali ni washamba sana. Wanadhani ule mtandao ni sawa na facebook.
4. Hasa hawa wanaofanya kazi kwenye vikampuni na vitaasisi vizuri ndio wanao jidai zaidi kwa vile wapo makazini basi hawaoni haja ya kutumia LinkedIn zaidi. Ila siku wakitumbuliwa ndio wanaanza kukuru kakara za kutafuta connection LinkedIn
5. Wanajiona sana na ndio sababu hawakubali kuwa na connection na watu wengine. Ndio sababu utakuta jitu lina connection ya watu 10 kwenye LinkedIn yake. Huu ni ushamba wa hali ya juu na ni aibu.
Wewe unadhani mtu akikuomba urafiki anakuomba kazi sio, acheni ushamba dunia imebadirika hii.
Mtu kama Bill gates tajiri wa dunia ana connect hadi na wakulima waliopo afrika wala hajali anaelewa nini maana ya LinkedIn.
6. Sijui shida iko wapi kwa watanzania wenzangu. Nyie mlio makazini mnakwama wapi kujipambanua kwenye account zenu za LinkedIn.
Wakuu nisaidie kuwaponda hawa watu mimi nimeishia hapa.
Watanzania wa LinkedIn wanaboa sana.
Utakuta kijamaa kinafanya kikazi cha mshahara laki saba basi kinavimba kichwwaaaaaaaa. Ukikiomba urafiki hakikujibu kinakaa kimya tu.
Je ungekuwa na mishahara kama ya kwetu ungefika wapi wewe.
Funguka acha ushamba wenzako tunachati na akina Jenifer Lopez Linkedln tunashauriana mambo mbalimbali.
Acheni ushamba na vikazi vyenu vya mishahara ya mboga.
Kama jina lako ndio hili hili ngoja nikutafute nikuombe koneksheniUsiwe negative sana, kama kuna Watanzania wawili watatu wako Linkedin wamekufanyia hivyo, ila usi generalize kwamba Watanzania wote walioko Linkedin wako hivyo. Hiyo ni generalization mbaya sana. Mimi ni mmojawapo ambao nipo Linkedin na nipo active sana kule, hadi sasa nina connections zaidi ya 3500; wengi wao wakiwa ni Watanzania na wapo active tuu na baadhi yao huwa nachati nao issues za kazi na opportunities zingine.
Meneja Wa Makampuni
Angalieni sana huko linkedIn mwishowe mtakuja kujiconnect na mashetani aka mapepo.Mimi connection zangu zinafika 5000 saivi followers elfu nne na ushehe.
LinkedIn is a security vulnerability.Habarini za leo wakuu,
Leo nimeona niwaletee mada hii wakuu.
Katika uchunguzi wangu niliofanya Linkedln nimegundua watanzania wenye akaunti LinkedIn
1. Ni washamba kwa maana kwamba hawajui maana ya mtandao wa LinkedIn
2. Profile zao za kitoto kwa maana kwamba hazivutii kabisa. Hawaja zipambanua vya kutosha, sijui wanakwama wapi.
3. Ukiwaomba urafiki hawakubali ni washamba sana. Wanadhani ule mtandao ni sawa na facebook.
4. Hasa hawa wanaofanya kazi kwenye vikampuni na vitaasisi vizuri ndio wanao jidai zaidi kwa vile wapo makazini basi hawaoni haja ya kutumia LinkedIn zaidi. Ila siku wakitumbuliwa ndio wanaanza kukuru kakara za kutafuta connection LinkedIn
5. Wanajiona sana na ndio sababu hawakubali kuwa na connection na watu wengine. Ndio sababu utakuta jitu lina connection ya watu 10 kwenye LinkedIn yake. Huu ni ushamba wa hali ya juu na ni aibu.
Wewe unadhani mtu akikuomba urafiki anakuomba kazi sio, acheni ushamba dunia imebadirika hii.
Mtu kama Bill gates tajiri wa dunia ana connect hadi na wakulima waliopo afrika wala hajali anaelewa nini maana ya LinkedIn.
6. Sijui shida iko wapi kwa watanzania wenzangu. Nyie mlio makazini mnakwama wapi kujipambanua kwenye account zenu za LinkedIn.
Wakuu nisaidie kuwaponda hawa watu mimi nimeishia hapa.
Watanzania wa LinkedIn wanaboa sana.
Utakuta kijamaa kinafanya kikazi cha mshahara laki saba basi kinavimba kichwwaaaaaaaa. Ukikiomba urafiki hakikujibu kinakaa kimya tu.
Je ungekuwa na mishahara kama ya kwetu ungefika wapi wewe.
Funguka acha ushamba wenzako tunachati na akina Jenifer Lopez Linkedln tunashauriana mambo mbalimbali.
Acheni ushamba na vikazi vyenu vya mishahara ya mboga.
LinkedIn is a security vulnerability.
Siku hizi kuna wasiojulikana wanatafuta habari za watu wawafanye vibaya.
Waache na ushamba wao, kwani lazima wakukubali urafiki mtu hata hawakujui?
Unataka kumpangia mtu jinsi ya kutumia account yake?
Kwani LinkedIn ni kwaajili ya kazi tu.
Washamba sana yaani
Mkuu ndio maana nkasema ni wakuhesabika
Sasa kama mtu kapuku kakaa na ukapuku wake hataki kusumbuliwa wewe tatizo lako liko wapi?Huo ndio ushamba wenyewe tunaozungumzia hapa.
Wasiojulikana wakutafute wewe kapuku ili iweje?Watafaidika nini wakikupata?Na hata kama wakikuhitaji kuna haja gani waumie kichwa wakitaka wanakupata kama panya tu nyumbani kwako mbagala mbande.
Sasa kama mtu kapuku kakaa na ukapuku wake hataki kusumbuliwa wewe tatizo lako liko wapi?
Unataka kumlazimisha kutumia account yake ya LinkedIn asivyotaka yeye?
Na ushajua huyu kapuku, kwa nini unataka kuwa na urafiki na kumfuatilia mtu kapuku?
Kwa nini usijiunge na wajanja wenzako uachane na makapuku?
Wewe naye ni mshamba mwingine unampaje mtu pesa akuandikie profile wakati kila kitu kinajieleza mle?Nilimpa mtu pesa kuniandali profile kule ambayo imekaa kama dunia ya kwanza
Wewe naye ni mshamba mwingine unampaje mtu pesa akuandikie profile wakati kila kitu kinajieleza mle?
Kama hata kuandika profile hujui kule sio mahala kwako ishia facebook tu.
Hahahahaha

Actually wewe kwa maelezo yako wewe si mshmba tu bali ni juha!. Period
Kwa hiyo na wewe ulishawahi kulipia pesa kuandikiwa profile?mbona umepaniki punguani mmoja wewe,usitumie kichwa chako kufugia meno.
Sasa kwanini ww mjanja usingue account yako ili hao washamba wajifunze kutoka kwako wewe mjanja.Habarini za leo wakuu,