proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,321
- 11,107
Mbona na ss tusiweze kuunda vitu hata kukop
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?

sumaye alisoma Havard au alikwenda kumtembelea ndugu yake mbona sikioni kichwa cha kusoma Havard hapo?Sumaye Fredrick
😀😀sumaye alisoma Havard au alikwenda kumtembelea ndugu yake mbona sikioni kichwa cha kusoma Havard hapo?
Duh aisee huyo kichaa nae kasoma Harvard ??Nyani Ngabu nae amesoma hapo
Kwani hapo wanafundisha course ya upunga?Nyani Ngabu nae amesoma hapo
NaijuaDuh aisee huyo kichaa nae kasoma Harvard ??
Hivi unaijua Harvard university???
Why not?Currently kuna vijana watatu wa kibongo ninaowafahamu pale Harvad School of Med. na mmoja yupo Havard Law, But as a matter of privacy I'm not gonna disclose their names
Haya ndio mambo yanayofanya umasikini apa Africa. Kuficha kuficha, unakuta MTU ana uwezo lakini anafichwa fichwa eti Privacy kweli Africa ni shitholeKama alivyosema Sheriff Arpaio...Harvard kuna baadhi ya wabongo wapo hapo na wengine wamepiga Ila kwa privacy za watu hatupendi kuziingilia au kuzivuruga. Kuna Kijana mmoja ni Daktari(Bio Chem)na wawili ni wachumi.
Ni Mwajabu Possi, the mother of PhD sons, wale ma albino cousin of high court judge, etc etc kuna familia zimeenda shule kusomaNa Professor Mwajaha POSSI (sijui kama nimepatia jina la kwanza), FF umenikumbusha Justinian(R.I.P). Je former Prime Minister one Sumaye hajasoma Havard kweli - if my memories servers me right.
UshamalizaKwa sasa nipo havard,MD
Nyerere alisoma University of Edinburgh
Basi Ex wako amefariki duniaKuna ex wangu anaitwa Wende Kisamfu...najutaaa kumpotezea