Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Huyu jamaa ni KIAZIIIIISumaye Fredrick
Huyu jamaa ni KIAZIIIIISumaye Fredrick
Kenge kabisa ,tukimaliza kukusomesha unakuja kutetea AcaciaNimepata admission huko Harvard nimeomba nchi inisaidie gharama eeh Mungu saidia sina kadi ya chama
Hahasumaye alisoma Havard au alikwenda kumtembelea ndugu yake mbona sikioni kichwa cha kusoma Havard hapo?
kwani sheria zenyewe zinasemaje. futa kwanza mahakama halafu uone kama kenge ni mimi au weweKenge kabisa ,tukimaliza kukusomesha unakuja kutetea Acacia
Amefariki mwaka huu June 9, una taarifa?Kuna ex wangu anaitwa Wende Kisamfu...najutaaa kumpotezea
Nyani Ngabu nae amesoma hapo
Abdurahaman KinanaSo far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
ulimuona?nachojua huyu alisoma English Kozi tu huko Ulaya,hana elimu yeyote ya maanaNyani Ngabu nae amesoma hapo
√Hayati Dr Buluda ItandalaSo far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Mimi pia nipo kwenye listSo far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Amefariki mwaka huu June 9, una taarifa?
Ndio. Kafariki California. Mchango unahitajika kumrudisha nyumbani kwa ajili ya mazishi.Wende wa st francis mbeya o level ama mwingine?