Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

Wewe umewekeza kwenye eneo gani?
Motivation speaker.
Nauza gesi boss, soma hapa. Ukimaliza njoo nikuandikishe uanze kutumia M-Gas.
Call: 0747744895
Soma hapa,
 
Boss kwenye biashara ya mafuta na gesi Tozo zinaathiri vipi faida unayoipata? Na pia tozo zinamwathiri vipi mfanya biashara wa mafuta na gesi?
wee dada mnafiki sana...yaani unajifanya tozo haziathiri ufanyaji biashara?are you for reals?stop being a stooge....kama m-transactions zimeshuka nearly 30%,wewe unadhani wateja wa kununua kwa simu si wamepungua?which means sales volume infact inaenda down,watu wata-prefer cash purchases,na wewe ni m-gas which means ni mobile money based,malipo yanakuaje hapo iwapo watu washaogopa tayari?

Nafiki sana wewe dada...I really hate it when someone pretends not to see pain citizens are going through sababu ya government bullying...

Fvck you with your sh1tty M-gas whatever that sh1t is....gorillas!
 
umetema nyongo bosd
 
Mkuu Meneja Wa Makampuni , asante sana kwa hii, ubarikiwe sana!.
P
 
Ahsante sana boss kwa mchango wako mzuri. Sasa ni vizuri wewe umelieleza hili vizuri zaidi mimi sikuwa na uhakika nalo ndio sababu nimetoa kama swali na nashukuru umelijibu vizuri. Ahsante boss.

Ila boss naomba nikuulize pia hili, unaweza kuchanganua jinsi tozo zilivyo athiri faida ya biashara ya mafuta (petroli na dizeli)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…