Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi
Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi tungeyatatua kwa kufuata Sheria za nchi pamoja na za Kimataifa na kuheshimu uwepo wa Mahakama duniani lakini badala yake tulijichukulia Sheria mkononi na kuunda vurugu zilizokuwa na laana ya Sheria ndani yake
Yaani kwamba Sheria ilitulaani ikidai tumeidharau badala ya kufuata suluhu Mahakamani tukaamua kuumizana
Hatakama Serikali pamoja na Wananchi tulikuwa na makosa tungepelekana Mahakamani na sio kuraruana kama simba kwasababu Simba hajui namna nyingine ya kujitetea zaidi ya kurarua adui