Watanzania tu wavivu mno!

Watanzania tu wavivu mno!

Siri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.
Sio siri, Watanzania Tunajulikana kwa UVIVU.

Asilimia kubwa ya Watanzania kama 96% ni WAVIVU hata Kenya tu majirani wanatujua.

Ila hapo kwenye daladala kwakweli sio wavivu ila kwingineko...Airport, Bandarini, Hotelini n.k WAVIVUUU.
 
kwa majungu tunaongoza dunia nzima, sisi tunafaa kuanzisha mashindano ya dunia ya majungu (World's Majungu Tournament, WOMATO) tutaibuka na medali za dhahabu za kutosha.
 
Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Mkuu umenikuna sana kwa hii mada aisee. Big UP!! Yaani huwa sioni mantiki kabisa ya kuwachukia wachina eti kwa nini wanatoka kwao kujs kuuza karanga,maamdazi,hereni,nk. Si wamekuta tumelala wakachangamkia fursa? Hivi wangekuta watanzania tumekaba maeneo yote ya biashara wangeweza kuja kuazianzisha? Walikuja wakakuta watu wanahitaji huduma na huduma hazipo wakaimgia kazini shida iko wapi? Mimi nawapenda wanatutoa usingizini. Wangekuwa majabazi ndio ningewachukia. Ebu fikiria Bakhresa kuuza hadi maandazi, chapati nk ni kwa sababu ya usingizi tulio nao watanzania.
 
mficha uchi hazai.
mficha maradhi kifo kitamuumbua. usipoziba ufa utajenga UKUTA.
Siri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.
 
Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.

Watanzania wanafanyakazi sana wala si wavivu,tembea uone mdau usikalili hapo ulipo.
 
japo na uvivu wetu,KUNA MTU YEYOTE ALIYEWAH KUJA KUKUOMBA HELA YA KULA,?kila mtu na maisha yake,angalia maisha yako,UJINGA ZAIDI NI KUJIONA WEWE NI BORA KULIKO WENGINE,
Huu sasa ndio unaitwa ujuaji.......wewe mwenzio anazungumzia tatizo aliloliona kwenye jamii anajaribu kulirekebisha wewe unakuja na pumba zako hapa za kumkata kipuuzi........acha upogba ........unapoona mtu anazungumza jambo la kujenga jifunze kupitia kwake kama kichwa chako ni kigumu kuelewa basi kaa kimya wanaotaka kujifunza wajifunze sio unaropoka upumbavu wako.....bwege wahed wewe.
 
Uwezi kuwaita watu wavivu wakati hawali kwako uwasaidii kitu.wanaishi vipi kama ni wavuvi?wanakula wap?uliwapa kazi wakakataa kufanya?acha useng
 
Ona tafiti zetu kwa watanzania
*vichaa
*wavivu
*wezi
*wananchi wake hawana furaha
*hawawezi
*waongo na utapeli kwa E.Africa
 
Uwezi kuwaita watu wavivu wakati hawali kwako uwasaidii kitu.wanaishi vipi kama ni wavuvi?wanakula wap?uliwapa kazi wakakataa kufanya?acha useng
ha ha ha ha oneni jinga hili

Sasa wewe unavyopaniki kisa ni nini.......maana kwa ninachojua watu wakiona topic zinazowahusu huwa wanajihisi kushambuliwa fulani hivi na hatimaye hujikuta wanarespond negatively ili wapate nafuu katika mioyo yao..........sasa wewe umepanic kwasababu na wewe ni mvivu kama ambavyo mleta post anavyobainisha.........kama limekuingia kisawasawa basi ni ukweli ila kama kinachosemwa ni uongo basi chukulia ni utani tu..........
 
Hamna.ujue hauwezi kumfunga punda kamba alafu ukawa una mchapa fimbo unamtaka atembee.Mimi vijana nawaona wanavyoteseka kitaa kazi mna naumia sana MTU anavyokurupuka na kuwatuhumu kuwa ni wavivu.uliwapa kazi?kuna kauli mbiu ambayo inanikera sana.ya hapa kazi tu.halaf serikali yake Hamna ajira mpya inayozalisha.watu wanaitimu vyuo kazi hamnaa.watu kila siku wanafukuzwa kazi.n.k.sio kama watu hawapendi kufanya kazi.Bali kazi zenyewe hakunaaaa
 
Lakini best.....ngoja nikupe siri........unajua uvivu huwa unaanzia kwenye fikra......kiukweli jamii yetu (kwa maana ya wazazi....walimu.....viongozi na wanaharakati) wanamchango mkubwa sana katika kuwapotezea dira vijana.........kwa sasa nadhani changamoto ni vijana kujibunia project za kufanya yaani kujiajiri.......tukingojea hii serikali watujengee mfumo wa ajira kusema ukweli tutafeli mapema sana.........si unaona kuna vijana wenzetu kama wa akina Diamond jitihada zao hazina formula.......ndizo zimewatoa........ila sisi tunaodhania maisha yana formula ndio tunazeekea kitaa na ndoto zetu..........uvivu huwa unaanzia kwenye fikira zetu vichwani yaani namna tulavyoliona tatizo na hatua tunazoamua kuchukua..........kwa vijana wa tanzania huwa tunaona tatizo la ajira ni sehemu ya maisha yetu na ndipo hapo tunapoishi nalo halafu hatua tunayochukua ni kulalamika.......diamond angekuwa na yeye ni mtu wa kulalamikia serikali sidhani kama account yake leo ingesoma salio la milioni kadhaa ambazo kwa wengine pamoja na kuajiriwa bado account zao ni zero au utakuta ni elfu kadhaa ambayo hata ATM inagoma kutoa........so kijana uvivu haumaanishi kuwa ni tusi ila ni hali halisi ya vijana na uwezo wao wanavyofikiri.....
 
Sisi tuendelee kujifariji na vijineno ushuzz "TUNAPAMBANA MKUU/KIONGOZI" wenzetu Kenya wanatoboa tu.
 
kuna ulazima wa kuanzisha mafunzo kwa mujibu wa sheria kwa vijana wte wasio na kazi kwenda JKT
 
Naunga mkono hoja. Tena wapeleke malori weekend pale Coco Beach kila kijana anaekamatwa pale direct anawekwa kwenye Lori breki ya kwanza kambini Ruvu.
 
Tutaacha lini uvivu. Sasa hv kila mtu ni mjuvi wa mchanga wa madini "makinikia"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom