Watanzania tu wavivu mno!

Watanzania tu wavivu mno!

Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Ni kweli kabisa. Ninapoishi ukitaka kununua kitu dukani asubuhi mapema huwezi kupata hadi maduka yafunguliwe saa mbili mbili hivi. Nimeshawahi kwenda dukani na buku mbili kununua bidhaa za 600 muuzaji kakaa tu hata bila kujishughulisha kirahisi rahisi ten kwa dharau anakwambia hana chenji. So Mara moja nimeshawahi kuondoka hotelini bila kuhudumiwa kwa uvivu wa wahudumu wako busy kuangalia Tv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania sio wavivu sema fursa nyingi zina password watu wengi hawapendi wenzao wawe na mafanikio..ndio maana ni rahisi kwa mgeni kupiga pesa huku ninyi wenyewe mkipigana vikumbo...mbona huko nje Watz ndio wanapiga sana kazi mkuu
Nje hamna Kaka wala shangazi, usipojituma huli, n'a wengi miongoni mwa wanaoishi nchi zenye kulipa mafao mtu Asie n'a kazi, basi huishia hayo hayo mafao !!!
 
Ni kweli kabisa. Ninapoishi ukitaka kununua kitu dukani asubuhi mapema huwezi kupata hadi maduka yafunguliwe saa mbili mbili hivi. Nimeshawahi kwenda dukani na buku mbili kununua bidhaa za 600 muuzaji kakaa tu hata bila kujishughulisha kirahisi rahisi ten kwa dharau anakwambia hana chenji. So Mara moja nimeshawahi kuondoka hotelini bila kuhudumiwa kwa uvivu wa wahudumu wako busy kuangalia Tv.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu utamkuta kutwa kwa waganga wakati yeye ndio mchawi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kiukweli duniani hakuna anaependa kufanya kazi ,ukiona MTU ana anamlaumu mwingine kwa kuwa hapendi kufanya kazi basi jua ni mnafki huyo,hakuna anaependa kufanya kazi ni utumwa na ndo maana wakaweka sheria makazini ya mda Wa kuingia na kutoka,hakuna tofauti kati ya mtumwa na mfanyakazi,tofauti ni kwamba we unalipwa na yeye halipwi,lakini wote mnatumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom