jorochere95
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 294
- 152
Kwa hivo unapinga kauli mbiu ya "HAPA KAZI TU?"Unatumia "research sample"ya kijijini kwenu kutoa takwimu za kitaifa ? Ni watanzania wangapi wanaoishi kwa chakula cha msaada ? Ni watanzania wangapi wana Kazi ?Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.