New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,922
- 3,860
Mkuu ukiipata nishtue namikama dakika 10 zijazo nachepuka hapa job kwenda tra ila nina uhakika nitapotezewa muda vya kutoshawasumbufu wanazingua sio tra tu anzia serikali za mitaa mpaka ofisi za uma bado na wana majibu ya kuny....a sana jana nimepiga simu manispaa ya makonda aka kinondoni huyo mwanamke aliyepokea simu natamani atumbuliwe anajibu kama kichaa pambav bahati nzuri nikazama mtandaoni nikasaka namba ya kitengo cha biashara nikapata namba fulani nikaongea na jamaa akanielewesha =vizuri sana na nimemuelewa sasa naenda ofisini na vifaa vinavyohitajika napunguza kuhangaishwa
na yote hii ni kutafuta mipenyo ya kupata rushwa ......... magu bado wafanyakazi weeengi wanafanya kazi kwa mazoea, kiburi na kujisikia leo... ntawarekodi msikie wenyewe figisu zao... naelekea kwanza hapa tra mwenge kushugulikia tin namba laazima nilale mbele nayeyote atakayeniletea ubabaishaji. kwenye mpango mzima wa tin tumeshachoka kuhangaishwa wenyewe wanatangaza ni bure lakini matendo yao yamekaa kitakukuru takukuru