castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,793
- 3,212
sema wewe sio watanzania kuna watanzania there making it big
Tena ni wavivu hata wa kufikiri. Mtu anakuambia mungu yupo. Bila ya kuhoji na kuuliza sababu, unaanza kutangaza uwepo wake
Wengi wa Wafanyabiashara wa korosho = wageni (si wazawa) kwa miaka watanzania tumebaki kulia lia.Watanzania ni wavivu kupitiliza na dunia inajua. Fikiria mtu anatoka india anakuja kuanzisha biashara ya urojo na mishkaki anapiga hela sisi tunaishia kucheza pool table na kuiba power window
We mwenyewe mvivu wa kuandikaKuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Kungewekwa mfumo wa mafunzo ya kijeshi 40% na ujasiriamali kwa vitendo kwa 60%kuna ulazima wa kuanzisha mafunzo kwa mujibu wa sheria kwa vijana wte wasio na kazi kwenda JKT
ila wewe jamaa ni mjinga sana unapojumhisha uvivu wako kuwa sawa na watanzania wengine. Wenzako tuna hustle tunapata pesa, wewe unaleta story za uvivu wa ukoo wako hapa. Siku zingine usijumhishe watanzania wote.Watanzania ni wavivu kupitiliza na dunia inajua. Fikiria mtu anatoka india anakuja kuanzisha biashara ya urojo na mishkaki anapiga hela sisi tunaishia kucheza pool table na kuiba power window
Watanznia ni wavivu na wajinga amini nawaambiaWatanzania wanaojituma ili Nchi iendelee ni wachache sana, laiti tungejituma sote kwa amani iliyopo tungekuwa mbali kiuchumi.
wachina tayari tunao wa kutosha kariakooBora wachina waje watuletee teknolojia pia waoe dada zetu labda tutachangamka
Ccm imefikisha vijana hapa pabaya!!!UVIVU WIVU KULALAMIKA UOGA UJUAJI ndiyo jadi yetu watanzania
Wewe wasemaCcm imefikisha vijana hapa pabaya!!!
Umeshanyooka?Tumetukuka kwa uvivu JPM tunyooshe
Mvivu Nini mbona povu?Siri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.