Watanzania tu wavivu mno!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,679
8,421
Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
 
Tena ni wavivu hata wa kufikiri. Mtu anakuambia mungu yupo. Bila ya kuhoji na kuuliza sababu, unaanza kutangaza uwepo wake
 
Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Siri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.
 
kama dakika 10 zijazo nachepuka hapa job kwenda tra ila nina uhakika nitapotezewa muda vya kutoshawasumbufu wanazingua sio tra tu anzia serikali za mitaa mpaka ofisi za uma bado na wana majibu ya kuny....a sana jana nimepiga simu manispaa ya makonda aka kinondoni huyo mwanamke aliyepokea simu natamani atumbuliwe anajibu kama kichaa pambav bahati nzuri nikazama mtandaoni nikasaka namba ya kitengo cha biashara nikapata namba fulani nikaongea na jamaa akanielewesha =vizuri sana na nimemuelewa sasa naenda ofisini na vifaa vinavyohitajika napunguza kuhangaishwa

na yote hii ni kutafuta mipenyo ya kupata rushwa ......... magu bado wafanyakazi weeengi wanafanya kazi kwa mazoea, kiburi na kujisikia leo... ntawarekodi msikie wenyewe figisu zao... naelekea kwanza hapa tra mwenge kushugulikia tin namba laazima nilale mbele nayeyote atakayeniletea ubabaishaji. kwenye mpango mzima wa tin tumeshachoka kuhangaishwa wenyewe wanatangaza ni bure lakini matendo yao yamekaa kitakukuru takukuru
 
Watanzania wanaojituma ili Nchi iendelee ni wachache sana, laiti tungejituma sote kwa amani iliyopo tungekuwa mbali kiuchumi.
 
Watanzania sio wavivu sema fursa nyingi zina password watu wengi hawapendi wenzao wawe na mafanikio..ndio maana ni rahisi kwa mgeni kupiga pesa huku ninyi wenyewe mkipigana vikumbo...mbona huko nje Watz ndio wanapiga sana kazi mkuu
Wengi wanaokaa nje hawana mentality kama ya wanaokaa huku ndani.

Watanzania ni wavivu aisee, halafu walalamishi balaa.

Jua likiwaka wanalalamika, mvua ikinyesha wanalalamika, Rais akisafiri sana wanalalamika, Rais akikaa Ikulu wanalalamika.

Yaani fikra zetu wabongo, ni kazi sana aiseee.
 
Siri za ndani ya nyumba yako unapoziweka hadharani dunia nzima izisome wewe unafaidika nini ? Unapokojoa kitandani kisha ukahadithia mtaa mzima wewe itakusaidia nini ? jaribu kuwa msaarabu, na pia kumbuka suala la uvivu ni hulka ya mtu ambayo huenda imechangiwa na malezi lakini usijumuishe watanzania wote.
hata mm nimemshangaa na nimewashangaa sana mamods kuachia thread hii bila hata kuifuta sasa nchi zingine wakiona hapa watasema kuhusu sisi watanzania huyu nadhani hana tatizo inaelekea yeye mtoa mada ni mvivu anatuchanganya wote wavivu wakati wengine saa 9 alfajiri tupo tunatafuta ugali wa siku hiyo yeye anadhani tunavyochat hapa wengi hawana kazi au hawajishughulishi
 
Back
Top Bottom