UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Baada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto wa Mfalme huyo ajulikanae kama *Maha* ndiye anayetarajiwa kumrithi Baba yake, pichani ni Mfalme mtarajiwa wa Thailand!,, Jamaa ni 64 yrs of age lakini Ni pasua kichwa sana.
Alafu ndo mtoto wa kiume pekee. So hakuna namna[emoji116]
Alafu ndo mtoto wa kiume pekee. So hakuna namna[emoji116]