Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.

Vp kuhusu dini ya Mgombea.
Hili hujaligusia,utakuwa umelisahahu sio bure
 
FaizaFoxy huwezi kutenganisha mwanachama na chama, chama ndio chenye sera na mwanachama ni lazima afuate sera, hawezi kwenda kinyume na miongozo ya chama, Mfano mzuri sera za CCM ni serikali mbili, ndio maana katika bunge la katiba wana CCM wote walisimamia hilo na wewe ukiwemo, huwezi kwenda kinyume na chama kinavyotaka uende, kikisema wauza unga hawatakiwi kuguswa itakuwa hivyo, mgombea yeyote wa CCM hafai

Kanisome tena post namba moja. Unaonesha umekurupuka.

Hilo la sera nimeshalijibu pitipitia nyuzi utalikuta.
 
Kumbe wewe ni Mkenya? sasa usituletee siasa za Kinyang'au hapa. Nyie mara tu mnachinjana kama kuku.

Duh! sasa hata kama kusoma na kuelewa kinachoandikwa ni shida basi tatizo ni kubwa zaidi ya nilivyodhani!
Ni wapi niliposema mimi ni Mkenya? Au ulitaka niandike ,,sisi kwetu (Tanzania) hatuchagui Mtu bali tunachagua Chama..." ndiyo unielewe?
 
Vp kuhusu dini ya Mgombea.
Hili hujaligusia,utakuwa umelisahahu sio bure

Naam, dini ya mgombea ina matter sana ikiwa huyo mgombea anafata mafundisho ya dini yake. Sasa fikiri mgombea kama Slaa ambae hata mafundisho ya kanoni aliyoisomea yamenshinda utasema unamchaguwa kwa dini yake? Fikiri.

Ngoja nikupe darsa dogo la Kiislam:

Kumbuka ni rahisi sana mimi kumchaguwa kiongozi wa Kikristo anaefata dini yake na ambae hadhalilishi Muislam na asiye Muislam kuliko Muislam asiyefata dini yake na anaedhalilisha Waislam na wasiyo Waislam, kwa sababu Qur'an inasema hivi:

Qur'an 5:82
You will surely find the most intense of the people in animosity toward the believers [to be] the Jews and those who associate others with Allah ; and you will find the nearest of them in affection to the believers those who say, "We are Christians." That is because among them are priests and monks and because they are not arrogant.

Isitoshe, ukisoma historia ya Mtume Muhammad Salla Llahu Alayhi Wasalaam alipopata Utume huko Makkah na alipoanza kufanikiwa kuwabadilisha wengi kutoka katika upagani, kulitokea Waislam wa mwanzo kunyanyaswa na kupingwa na hata kufikia kuuliwa. Mtume Muhammad Salla Llahu Alayhi Wasalaam akawaamrisha waondoke Makkah na wahamie Habash (Ethiopia) na huko Mfalme alikuwa ni Mkristo maarufu kwa jina la Nagash. Nagash akawasikiliza na akawapokea na hakuwadhuru wala kuwafanyia vitimbi.

Na hiyo hiyo Habash (Ethiopia) ndiyo ilikuwa mpaka huku kwetu kwa enzi hizo na ndipo Uislam ulioenea huku kwetu ni kutokana na hao walio "immigrate" mwanzo na kupokelewa vyema na Nagash.

Nadhani utauelewa msimamo wa Kiislam kuhusu kiongozi.
 
Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.

Tatizo kuu la mtanzania ni system nzima ya ccm.
Tunapambana kuitoa ccm yote kwa ujumla kwasababu the whole system is rotten.
Yeyote atakeyejiunga na ccm sisi kazi yetu ni kumuondosha yeye na system yote ccm.
 
Naam, dini ya mgombea ina matter sana ikiwa huyo mgombea anafata mafundisho ya dini yake. Sasa fikiri mgombea kama Slaa ambae hata mafundisho ya kanoni aliyoisomea yamenshinda utasema unamchaguwa kwa dini yake? Fikiri.

Kwa hiyo dini ya JK ina halalisha wizi na ufisadi,maaana ndicho kikuu alichokisimamia tokea 2005 Mapaka sasa
 
mahakama ya kadhi sahau......hilo halitatokea hapa nchini iwe jua au mvua
 
Hapa nnaongea kama mwana CCM na si CCM. CCM wana njia zao za kufikisha ujumbe wao na sera zao. Kumbuka hilo kabla ya yote.

Hapa nakumbushia ukweli ulivyo, sasa wewe ni haki yako, kunyoa ua kusuka. Uko huru.

Jee, wewe utachaguwa kiongozi au chama?

Sijawahi kuchagua chama hata siku moja kwa muda wa miaka 15 niliyopiga kura. Mimi huwa nasubiri mtu aje ateme madini nimwelewe anasema nini, nione na guts zake hapo anapata kura yangu. Sina tabia ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Sio mara moja kwenye uchaguzi mkuu kuchagua aidha diwani wa TLp, mbunge cdm na rais wa cuf. Ila sijawahi kuchagua wa ccm hata mara moja. Kwani mara nyingi wote wanapita kwa hila toka humo chamani mwao. Wengi nawaona sio viongozi bali wafanya biashara. Kwa bahati mbaya hao ndio wanakuwa viongozi wangu kwa hila na rushwa na mwishoni wananchi wanaishia kulia na kusaga meno. Hivi ninavyoandika kuna mjasiriamali mwingine wa ccm anakwangua barabara ili awahadae wananchi tayari kwa mnada wa kura. Lakini nimehakikisha natoa elimu ya uraia tena bila kupigia debe chama chochote. Kiujumla ni amshaamsha ya hatari. Hata wewe ukijichanganya na mimi nakuvua gamba. Yaani kungekuwa na mgombea binafsi ningegombea, lakini sio kupitia chama. Nawashabikia sana cdm kwani ndio wangalau wana dalili ya kutoa hii cancer inayoitwa ccm. Ila kwenye uanachama wataningoja sana.

Nakutakia Jumamosi njema ngoja niendelee na kazi si unajua tena taifa linajengwa kwa kuchapa kazi na lazima tulipe kodi.
 
Kwa nini tusichague kiongozi kutoka Chama chenye sera nzuri? Tunaongozwa na mtu tu au na sera nzuri zinazosimamiwa na mtu mzuri?

Kwa maelezo yake ni kwamba huyo mtu atakuwa na sera zake binafsi ila baada ya kumchagua ndiyo atakuwa na Sera za chama na hapo ndipo utakapoanza kusikia ilani za chama, zidumu fikra za mwenyekiti.
Kumbuka anakwambia CCM ni chama bora sasa huyo mgombea sijui tutamchagua vipi, yaani atakuwa hana chama.

Lazima kuangalia chama change Sera nzuri na uongozi mzuri ili huyo mtu awe anaongozwa na sera, kanuni na miongozo yote ndani ya chama siyo mtu anayekuwa juu ya chama.
 
Naam, dini ya mgombea ina matter sana ikiwa huyo mgombea anafata mafundisho ya dini yake. Sasa fikiri mgombea kama Slaa ambae hata mafundisho ya kanoni aliyoisomea yamenshinda utasema unamchaguwa kwa dini yake? Fikiri.

Ngoja nikupe darsa dogo la Kiislam:

Kumbuka ni rahisi sana mimi kumchaguwa kiongozi wa Kikristo anaefata dini yake na amabae hadhalilishi Muislam na asiye Muislam kuliko Muislam asiyefata dini yake na anaedhalilisha Waislam na wasiyo Waislam, kwa sababu Qur'an inasema hivi:

Qur'an 5:82
You will surely find the most intense of the people in animosity toward the believers [to be] the Jews and those who associate others with Allah ; and you will find the nearest of them in affection to the believers those who say, "We are Christians." That is because among them are priests and monks and because they are not arrogant.

Isitoshe, ukisoma historia ya Mtume Muhammad Salla Llahu Alayhi Wasalaam alipopata Utume huko Makkah na alipoanza kufanikiwa kuwabadilisha wengi kutoka katika upagani, kulitokea Waislam wa mwanzo kunyanyanswa na kupingwa na hata kufikia kuuliwa. Mtume Muhammad Salla Llahu Alayhi Wasalaam akawaamrisha waondoke Makkah na wahamie Habash (Ethiopia) na huko Mfalme alikuwa ni Mkristo maarufu kwa jina la Nagash. Na akawasikioiza na akawapokea na hakuwa dhuru wala kuwafanyia vitimbi.

Na hiyo hiyo Habash (Ethiopia) ndiyo ilikuwa mpaka huku kwetu kwa enzi hizo na ndipo Uislam ulioenea huku kwetu ni kutokana na hao walio "immigrate" mwanzo na kupokelea vyema na Nagash.

Nadhani utauelewa msimamo wa Kiislam kuhusu kiongozi.

Dada Faiza huwa unanisikitisha sana unapopenda kuleta mambo ya dini hakika heshima yako huwa inashuka sana. Umeleta mada nzuri lakini kwa kuwa udini ni hulka yako umejikuta ukienda tofauti kabisa na uzi wako.
 
mahakama ya kadhi sahau......hilo halitatokea hapa nchini iwe jua au mvua

Naona upo nyuma sana ki habari za nchini mwako. Mahakama ya kadhi mbona imeshapewa "ruksa" ianzishwe siku nyingi sana, sasa tunadai zaidi ya mahakama ya kadhi. Umelala?

Sasa sijuwi baada ya kujuwa hilo hiyo mvua na jua lako litaishia wapi?

Nikisema wewe ni punguani ntakuwa nimekosea?
 
= mijadala
= Ukabila
= tambara

Haya, uwe na siku njema.

You have got a good idea, kwahiyo FaizaFoxy kwa mtazamo wako huu mzuri; kwa maoni yako ni kiongozi au viongozi gani sasa waliopo wanastahili kuwania kiti cha URAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? Just list three individuals of your choice as presidential contestants for general election 2015
 
Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.

FaizaFox katika ubora wake.....
 
ni upi msimamo wako juu ya makakama ya kadhi? je unaridhika na serkali ya ccm inavyosema juu ya mahakama ya kadhi?
 
Kwa hiyo dini ya JK ina halalisha wizi na ufisadi,maaana ndicho kikuu alichokisimamia tokea 2005 Mapaka sasa

Sijui kuhusu Julius Kambarage maana na yeye ni JK pia. Lakini kama unamaanisha Jakaya Kikwete, hapana dini yake ni Uislam na Uislam unaujuwa japo kwa kuusikia tu, sina haja ya kuelezea hilo.

Naam, Jakaya Kikwete katika mambo makuu aliyosimamia ni ufisadi na wizi na hilo ni ukweli kabisa na nafurahi kuwa umeliona. Leo tunaona ufisadi wa toka enzi za Nyerere, Mkapa na Mwinyi akiuibuwa, leo tunaona mawaziri na mabalozi wakifikishwa mahakamani kwa ubadhirifu, wizi na ufisadi.

Leo tunaona TAKUKURU ipo kila wilaya kusimamia wizi, rushwa na ufisadi na inazidi kuongezewa nguvu mara kwa mara, hiyo ni kwa jitihada za Kikwete kusimamia hayo.
 
Back
Top Bottom