ana kazi maalumu hapaDada Faiza huwa unanisikitisha sana unapopenda kuleta mambo ya dini hakika heshima yako huwa inashuka sana. Umeleta mada nzuri lakini kwa kuwa udini ni hulka yako umejikuta ukienda tofauti kabisa na uzi wako.
Tatizo kuu la mtanzania ni system nzima ya ccm.
Tunapambana kuitoa ccm yote kwa ujumla kwasababu the whole system is rotten.
Yeyote atakeyejiunga na ccm sisi kazi yetu ni kumuondosha yeye na system yote ccm.
una akili za nguruwe na mbwaNaona upo nyuma sana ki habari za nchini mwako. Mahakama ya kadhi mbona imeshapewa "ruksa" ianzishwe siku nyingi sana, sasa tunadai zaidi ya mahakama ya kadhi. Umelala?
Sasa sijuwi baada ya kujuwa hilo hiyo mvua na jua lako litaishia wapi?
Nikisema wewe ni punguani ntakuwa nimekosea?
Naona upo nyuma sana ki habari za nchini mwako. Mahakama ya kadhi mbona imeshapewa "ruksa" ianzishwe siku nyingi sana, sasa tunadai zaidi ya mahakama ya kadhi. Umelala?
Sasa sijuwi baada ya kujuwa hilo hiyo mvua na jua lako litaishia wapi?
Nikisema wewe ni punguani ntakuwa nimekosea?
huyo anabwabwaja tu.....FF yupo kwa mkakati maalumuKama Mwigulu na Nyerere na Sokoine.
Duh! sasa hata kama kusoma na kuelewa kinachoandikwa ni shida basi tatizo ni kubwa zaidi ya nilivyodhani!
Ni wapi niliposema mimi ni Mkenya? Au ulitaka niandike ,,sisi kwetu (Tanzania) hatuchagui Mtu bali tunachagua Chama..." ndiyo unielewe?
Sijui kuhusu Julius Kambarage maana na yeyey ni JK pia. Lakini kama unamaanisha Jakaya Kikwete, hapana dini yake ni Uislam na Uislam unaujuwa japo kwa kuusikia tu, sina haja ya kuelezea hilo.
Naam, Jakaya Kikwete katika mambo makuu aliyosimamia ni ufisadi na wizi na hilo ni ukweli kabisa na nafurahi kuwa umeliona. Leo tunaona ufosadi wa toka enzi za Mkapa akiuibuwa, laeo y=tanoana mawaziri na mabalozi wakifikishwa mahakamani kwa wizi na ufisadi.
Leo tunaona TAKUKURU ipo kila wilaya kusimamia wizi, rushwa na ufisadi na inazidi kuongezewa nguvu mara kwa mara, Hiyo ni kwa jitihada za Kikwete kusimamia hayo.
pole sana kwa hizo ndoto....mahakama ya kadhi Tanganyika?????Naona upo nyuma sana ki habari za nchini mwako. Mahakama ya kadhi mbona imeshapewa "ruksa" ianzishwe siku nyingi sana, sasa tunadai zaidi ya mahakama ya kadhi. Umelala?
Sasa sijuwi baada ya kujuwa hilo hiyo mvua na jua lako litaishia wapi?
Nikisema wewe ni punguani ntakuwa nimekosea?
Sijui kuhusu Julius Kambarage maana na yeyey ni JK pia. Lakini kama unamaanisha Jakaya Kikwete, hapana dini yake ni Uislam na Uislam unaujuwa japo kwa kuusikia tu, sina haja ya kuelezea hilo.
Naam, Jakaya Kikwete katika mambo makuu aliyosimamia ni ufisadi na wizi na hilo ni ukweli kabisa na nafurahi kuwa umeliona. Leo tunaona ufosadi wa toka enzi za Mkapa akiuibuwa, laeo y=tanoana mawaziri na mabalozi wakifikishwa mahakamani kwa wizi na ufisadi.
Leo tunaona TAKUKURU ipo kila wilaya kusimamia wizi, rushwa na ufisadi na inazidi kuongezewa nguvu mara kwa mara, Hiyo ni kwa jitihada za Kikwete kusimamia hayo.
Muiendeshe wenyewe sio kodi yangu. ..mi sio muislam hainihusu
awamu hii mtakoma.....mgombea wa ccm mkristo,katibu mkuu wa chama lazima awe mkrito,muenezi mkristo tuone matangazo yenu hapa JF yakuwateteaUngejuwa hivi sasa kesi za Waislam zinaendeshwa vipi katika mahakama hizi tulizonazo ungeona ni bora tuwape hizo pesa wawe na mahakama rasmi ya kadhi.
Hebu waulize wanasheria humu wakujuze japo kiduchu kuhusu kesi za mirathi, ndoa na talaka za Waislaam zinavyoendeshwa mahakamani uone zinavyofonza muda na fedha za walipa kodi, utatamani usielewe.
Jee, wewe utakipigia kura chama chako au Kiongozi umtakae?
Pls FaizaFoxy sasa unakosea ktk hili kuwa na ofisi za TAKUKURU kila wilaya au mkoa ni jambo zuri lkn sio lazima liwe na maana ya kuonesha ndio kuishinda rushwa. Ukubwa wa pua sio wingi wa MAKAMASI! To be honest, rushwa na dhuluma na ukiukwagi wa haki za binadamu bado ni challenge kubwa hapa nchini.
nimeamini wewe ni JUHAInaonesha ni dhamira na inaonesha sasa linashughulikiwa ipasavyo. Rushwa imeota mizizi kwa miaka 44 Tanzania hii.
Kikwete kaonesha ari na njia ya kuwa anaishughulikia na matokeo tunayaona. Mwenye macho haambiwi tazama, uliona wapi kabla ya Kikwete rushwa na ufisadi ukijadiliwa bungeni wazi wazi? uliona wapi kabla ya Kikwete mawaziri wakifikishwa mahakamani kwa ibadhirifu wa fedha za Serikali? uliona waoi kabla ya Kikwete mabalozi wakifikishw mahakamani kwa ubadhirifu wa fedha za umma? Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Sasa hivi kinachotakiwa tuchaguw wabinge watakaokwenda kuionoa sharia ya rushwa na kuongezea makali, hukumu na adhabu za rushwa. Napendekeza adhabu ya rushwa iwe moja tu, kifo, iwe rishwa ya shillingi mia mbili au ya billioni mia mbili.
Na nnapendekeza kuwe na mahakama ya rushwa, ubadhirifu na ufisadi, mahakimu wabobee huko kama ilivyo mahakama za biashara na za nyumba na za kadhi.
we AJUZA punguza mahaba....Inaonesha ni dhamira na inaonesha sasa linashughulikiwa ipasavyo. Rushwa imeota mizizi kwa miaka 44 Tanzania hii.
Kikwete kaonesha ari na njia ya kuwa anaishughulikia na matokeo tunayaona. Mwenye macho haambiwi tazama, uliona wapi kabla ya Kikwete rushwa na ufisadi ukijadiliwa bungeni wazi wazi? uliona wapi kabla ya Kikwete mawaziri wakifikishwa mahakamani kwa ibadhirifu wa fedha za Serikali? uliona waoi kabla ya Kikwete mabalozi wakifikishw mahakamani kwa ubadhirifu wa fedha za umma? Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Sasa hivi kinachotakiwa tuchaguw wabinge watakaokwenda kuionoa sharia ya rushwa na kuongezea makali, hukumu na adhabu za rushwa. Napendekeza adhabu ya rushwa iwe moja tu, kifo, iwe rishwa ya shillingi mia mbili au ya billioni mia mbili.
Na nnapendekeza kuwe na mahakama ya rushwa, ubadhirifu na ufisadi, mahakimu wabobee huko kama ilivyo mahakama za biashara na za nyumba na za kadhi.
Ungejuwa hivi sasa kesi za Waislam zinaendeshwa vipi katika mahakama hizi tulizonazo ungeona ni bora tuwape hizo pesa wawe na mahakama rasmi ya kadhi.