Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Mpaka sasa hivi nakisapoti chama. Chama sera zake husimamiwa na nani? Fikiri.

Nimeona unavyohangaika kuhalalisha hoja yako iliyopwaya na inayoendelea kupwaya.

Kwa wakati huu tulionao, wapiga propaganda za Chama ukiwamo wewe dada'ngu ndio mnapaswa mfikiri zaidi jinsi ya kukinasua Chama kutoka hapa kilipokwama.

Hoja hii uliyoianzisha haikijengi Chama unachokitetea. Ni bahati mbaya sana Chama kinakutumaini wewe na wenzio waliomo humu barazani ili kukirejeshea nuru yake inayofifia.

Nikutakie kazi njema. Pia nikuagize UFIKIRI vizuri ili kukikwamua Chama hapa kiliponasa. FIKIRI sawasawa. Maana wanachama wa Chama unachokitetea ambao baadhi yao ni viongozi ndani ya chama na serikali ndio "bora viongozi" kwani kila uchao wanafanya mambo ya hovyo yanayoiangamiza jamii na kubomoa misingi jadidi ya taifa. "Bora viongozi" hawa hawajui kwa nini Tanzania ni masikini wa kutupwa. Ama hujasikia hili pia?

Alamsiki.
 
Umemaliza?

Sasa rudi post namba moja, kanisome kwa "utuvu".
 
Huyu ndie anaitwa FaizaFoxy mwanamke anayeipenda ccm pamoja na katiba iliyopendekezwa na wahununi wenye malengo machafu na nchi yetu.

mwana mama huyu baada yakuona mahakama yake ya kiislam(mahakama ya kadhi) ccm hawataki kuyatekeleza, sasa naona amepata akili nakuona ukawa ndio mkombozi wake.

taratibu lile jinamizi la ccm limeanza kumtoka.

hongera sana, leo umekuja na mada zuri sana, lakn kaa ukielewa kwamba mgombea tutakayempendekeza wanainchi ni dr.slaa ukate ukumbali ukweli ndio huo.
Toka lini umekuwa msemaji wa watanzania Slaa hawezi kuwa rais wa Tanzania hana maadili.

Kama kashindwa kuiongoza familia yake na wakampeleka mahakamani ataweza kutuongoza watanzania achilia mbali kupora mke wa mtu.

Labda ni chaguo lako wewe na familia yake.
 
Last edited by a moderator:
Kikwete ni Rais bora zaidi ya yeyote tuliyewahi kumpata Tanzania hii. Hilo hata wewe ukilipima kwa vigezo vya Marais wa kabla yake utalikubali ukipenda usipende.

Naamini kuwa chama bora Tanzania hii hadi hii leo ni CCM.

Narudia, Tanzania hii hatuchaguwi vyama tunachaguwa kiongozi na tusibweteke tuoneshe mfano mwema kama tulivyouonesha mwaka 2005 tulipomchaguwa Kikwete bila kujali itikadi zetu za vyama.

Kweli kikwete ni bora rais kuwahi kutokea katika taifa hili kwa kupeleka bei ya sukari kutoka Shs 600 aliyotuachia Mr Ben Mkapa hadi Shs 1600 hadi 1800 kwa kilo huku miwa ya sukari ikioza shambani kwa wakulima kwa kukosa soko.
 
Toka lini umekuwa msemaji wa watanzania Slaa hawezi kuwa rais wa Tanzania hana maadili.Kama kashindwa kuiongoza familia yake na wakampeleka mahakamani ataweza kutuongoza watanzania achilia mbali kupora mke wa mtu.Labda ni chaguo lako wewe na familia yake.
mbona muham mad kampora mwanae zaid ibn harith mkewe na wewe unamuona ni kigezo chako chema0†7!Hujui ashki majununi wee mbuguma!? Jee kama wengi wamepora wake za watu, wataacha kumchagua kuwa kiongozi wao?
 
mbona muham mad kampora mwanae zaid ibn harith mkewe na wewe unamuona ni kigezo chako chema07!Hujui ashki majununi wee mbuguma!? Jee kama wengi wamepora wake za watu, wataacha kumchagua kuwa kiongozi wao?
Teh teh teh nilijua tu lazima wagalatia mtatoka jukwaa la dini kuja kumtetea Padre Slaa.

Kwa kifupi tu Tanzania haiwezi kuongozwa na Padre.

Hayo mengine nakuachia mwenyewe.
 
Umechelea jamvini karamu imeshaliwa.

Hayo yamejibiwa yote, rudi hukohuko ukajisomee majibu.
UPUUZI MWINGINE. Eti mtu anakupigia simu saa 7 usiku alafu anakuuliza UMELALA ? wakati mwingine ni bora ukamjibu 'Hapana NIKO NJE NAOTA JUA.usiku mwema

Huna jipya wewe kwangu, upo too shallow, nimezowea kuogelea kwenye vina virefu.
UPUUZI MWINGINE. Eti mtu anakupigia simu saa 7 usiku alafu anakuuliza UMELALA ? wakati mwingine ni bora ukamjibu 'Hapana NIKO NJE NAOTA JUA.usiku mwema
 
Teh teh teh nilijua tu lazima wagalatia mtatoka jukwaa la dini kuja kumtetea Padre Slaa.Kwa kifupi tu Tanzania haiwezi kuongozwa na Padre.Hayo mengine nakuachia mwenyewe.
qulu haqu wainkana mura! au sio mukulu! Huyo ff alianza uzi kwa uzuri baadaye akaanza kufakamia viroba jogoo...
 
Jee, wewe utakichaguwa chama au kiongozi?

Kampeni za mtu hazilipi ndugu. Miaka yote ulimshabikia Kikwete kwa udini sasa unaona anaondoka unaanza kushabikia mtu. Mbona husemi muislam au mkristo kama ulivyozoea?

Tusubiri ahadi ya kikwete ya kukataa kumuachia kafiri madaraka itimie na hapo ndo tutaanza kukusikia tena ukisema ccm safi.

Tunachoona ni jina CCM kutolipa masikioni mwa vijana sasa unakimbilia buoy jingine for you to remain afloat!
 
Mkuu kumbe unawaelewa hawa mbweha wa mswalia mtume

Mi napenda Faiza aendelee na mtindo wake wa kung'ang'ania udini kama sifa kuu ya yeye kuendelea kufaidi. Sasa anaona dalili za dini yake kupoteza feva aliyodhani itadimu mpaka kufa kwake, mambo yamekuwa ni zero. Sijui kama amejifunza chochote kwa miaka yote hii 10 ya Profesa msela.

Sijui kama ana kumbukumbu, lakini nilishamwandikia kwamba maisha ya kudeka na kudekezwa huponza wengi. Huyu profesa wetu anaondoka bila faida ya kudumu kwa akina Faiza. Badala ya kujenga vituo vya mafuta na maduka ya kuuza samani, mbona angewapa uwezo kwa kujenga mashule jamani! FaizaFoxy vipi? Mabaki ya feva yako wapi kwa miaka 10 ijayo?
 
Kikwete ni Rais bora zaidi ya yeyote tuliyewahi kumpata Tanzania hii. Hilo hata wewe ukilipima kwa vigezo vya Marais wa kabla yake utalikubali ukipenda usipende.

Naamini kuwa chama bora Tanzania hii hadi hii leo ni CCM.

Narudia, Tanzania hii hatuchaguwi vyama tunachaguwa kiongozi na tusibweteke tuoneshe mfano mwema kama tulivyouonesha mwaka 2005 tulipomchaguwa Kikwete bila kujali itikadi zetu za vyama.

Foolishly arranged text! Usiseme kikwete ni bora, sema muislam ni bora. Ndivyo tunavyokufahamu hapa JF na Hiyo ndo sababu inayokufanya umsifie Kikwete. Unalinganisha vigezo gani kuweka ubora wake? Unalijua deni la taifa sasa hivi unajua national reserve yetu ikoje sasa hivi? Unajua kiwango cha rushwa kiko wapi sasa hivi? Mara kikwete bora, mara CCM ni bora mara tusichague chama. Rubbish!
 
Naunga mkono hoja.....viongozi wazuri tunaishi nao, tunajumuika nao, na kucheka nao, tukiamua kwa dhati, tunaweza kabisa kubadilisha hii hali ya sintofahamu.

Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.
 
Ni sawa kumchagua mtu laakini si toka CCM

Kwa hiyo wewe tatizo lako ni chama, wenye chama au wanachama?

Kwa upande wangu nachukulia vyama vya upinzani ni kama vyama vya mpira tu, wachezaji ndiyo muhimu. Shibuda alipokuwa CCM alichaguiwa na alipokuwa Chadema amechaguliwa.
 
Foolishly arranged text! Usiseme kikwete ni bora, sema muislam ni bora. Ndivyo tunavyokufahamu hapa JF na Hiyo ndo sababu inayokufanya umsifie Kikwete. Unalinganisha vigezo gani kuweka ubora wake? Unalijua deni la taifa sasa hivi unajua national reserve yetu ikoje sasa hivi? Unajua kiwango cha rushwa kiko wapi sasa hivi? Mara kikwete bora, mara CCM ni bora mara tusichague chama. Rubbish!

Of Course Uislam ni bora, lakini hapa mada si hiyo. Unataka kuuongelea Uislam kwanini hufunguwi nyuzi, ntakuja hukohuko kukuonesha ubora wake.

Weka vigezo vyovyote uvipendavyo wewe, mimi natazama uongozi wake wote kwa ujumla, ukiwa Rais hutazamwi ubora wako kwa kigezo kimoja tu.

You name it and you will find Kikwete did it better than all the presidents before him put together and not just one by one.
 
Kampeni za mtu hazilipi ndugu. Miaka yote ulimshabikia Kikwete kwa udini sasa unaona anaondoka unaanza kushabikia mtu. Mbona husemi muislam au mkristo kama ulivyozoea?

Tusubiri ahadi ya kikwete ya kukataa kumuachia kafiri madaraka itimie na hapo ndo tutaanza kukusikia tena ukisema ccm safi.

Tunachoona ni jina CCM kutolipa masikioni mwa vijana sasa unakimbilia buoy jingine for you to remain afloat!

Hebu jisome tena halafu jibu hili, Kikwete si mtu?

Nisome vizuri humu JF, utakuta licha ya kumshabikia Kikwete ninaishabikia CCM mpaka kesho. Hilo kumbuka.

Naona mkikosa hoja lazima mje na udini. Hii post yako ya pili sasa unachomekea "Uislam", "udini". Hivi unataka kuongelea dini, Uislam au hoja iliyopo kwenye huu uzi? sijakuelewa unajuwa. Unanshangaza.
 
Kama unanisoma humu JF ungejuwa kuwa kama ningekuwa mhafidhina basi kwanza ningekuwa namsifia Nyerere na hata nisingeyaona makosa yake. Fikiri.

Tundu Lissu kwa kutokuwa mhafidhina na kwa kuweza kuyaona na kuyasema wazi makosa ya Nyerere namkubali, lakini ananikera pale anapoiga sauti za wachungaji wa Jangwani anapowasilisha hoja zake.

unataka aropoke kama mashehe wa midahalo ya mburahati?(manake wamejaa mipasho na mtatusi utadhani si watumishi wa mungu)

acha udini unapowasilisha uzi
 
Back
Top Bottom