Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

unataka aropoke kama mashehe wa midahalo ya mburahati?(manake wamejaa mipasho na mtatusi utadhani si watumishi wa mungu)

acha udini unapowasilisha uzi

Asimuige mtu, si Sheikh wala Mchungaji uwe natural tu, mbona Kikwete anaongea kama yeye na hamuigi nani wala nani na anakubalika na akiongea hakuna asiyekaa kumsikiliza, hata wewehuwa unaganda kwenye tv hutoki.
 
Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.

ni bora kuchagua chama na c mtu, kwani mtu akiwa katka chama kama ccm hata kama n mzuri atafuata sera za chama chake, mwisho wa cku ndo hivo tena. Na ikumbukwe, chama ni watu na watu ndo chama. mgombea yeyote kutoka ccm hafai hata kama ni nani
 
Ni kweli kabisa ila ni bora pia huyo mtu mwenye sifa anatakiwa awe makini na chama anachotaka kugombania,coz mtu anaweza akawa safi lkn chama chake kikawa na sera mbaya mfano ukabila,udini n.k
 
CCM ni chama bora katika Tanzania ni chama chenye mizizi kila kona ya Tanzania.

Ukifika uchaguzi, CCM kinakuwa na sera na ni wajibu kumchaguwa tunaeona anafaaa kuzisimamia hizo sera. Si kila mgombea anaefaa.

Mfano, Slaa anaweza kukukinaisha vipi kuwa atasimamia maadili ya mtoto wa Kitanzania wakati yeye mwenyewe kashindwa kusimamia hata maadili ya kanoni aliyoisomea? Fikiri.

Eti kina mizizi kila kona ya tz,kwani hujaona kuwa imeng'olewa juzi tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Hivi mapesa yanayotolewa ndio sababu ya baadhi ya wachangiaji kutetea majina ya baadhi ya candidates bila kujali mapungufu waliyonayo?
 
Attachments

  • 1421988774648.jpg
    1421988774648.jpg
    56.1 KB · Views: 92
hamna kitu,80% muipate wapi?safari hii mmepokonywa sana maeneo.muda c mrefu mnabaki na 10% ambayo ndo mnaipenda sana kwenye mikataba.

Ndoto za mchana, hukuwasikia UKAWA juzi eti wanasusa kura! walishaona mambo magumu.
 
Kuna wachekeshaji wa jf, comedian wa jf, GT wa jf n.k.
Sasa huyu ni MUJIIINGA wa jf
 
Ndoto za mchana, hukuwasikia UKAWA juzi eti wanasusa kura! walishaona mambo magumu.

katiba ya upande mmoja,mwandishi chenge.toka lini samaki akajikaanga na mafuta yake?kwenye maadili amefukia fukia tu ili kujiokoa yeye na wenzie wachache.sasa hii sio nchi ya mtu mmoja kama ilivyozoeleka,watu wameanza kuja juu siku hizi mtulize akili sana kuongoza nchi.
 
Hapo inabidi shukrani zote zimuendee Kikwete kuwafundisha ni nini maana ya demokrasia ya kweli. Haijawahi kuwepo Tanzania hii kabla ya Kikwete.
 
Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.

Hongera sana kwa mchango wako na mawazo mazuri sana Mleta mada.Mchango wako nautambua katika safu hii.Kuna watu wanamambo ya kitoto.wivu na chuki zao kwa baadhi ya watu.NAKUPA BIG UP SANA MCHANGO WAKO NI MKUBWA KWA TAIFA NA WANANCHI.
 
Mfano hai ni mwaka 1995 wakati Kikwete alipowania kuwa Rais kwa mara ya kwanza, hakuna asiyejuwa kuwa alishinda ndani ya chama lakini wenye chama hawakutaka, matokeo unayajuwa.

Alichaguliwa na watu wa dini zote!!!! Of course alopovurunda alishuhuia uporomoka kwa kura!
 
Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.

Nimeipenda hoja yako na naelekea kuiunga mkono lakini nisaidie nitapataje fursa ya kumchagua kiongozi nimpendaye ilihali sina kitambulisho cha mpiga kura na kuna kila dalili kwamba sitakipata kabla ya tarehe ya kupiga kura. Hapa kuna kupiga kura ya maoni ya katiba mpya mwezi wa nne nitapigaje kama sina kitambulisho au wale watu milioni tano waliyofanya uchaguzi 2010 ndiyo hao hao watakaoruhusiwa kupiga kura? Nauliza tu kwa sababu nachanganyikiwa.
 
Mada nzuri, Hongera sana double F, ila cha msingi ni kupigania nafasi ya mgombea binafsi kwenye katiba mpya..!! Hii itakomesha kasumba ya vyama kutuchagulia watawala...!!
 
Nyerere, dr slaa, kikwete, uislaam hayo ndo maneno pekee ninayoyaona yakiandikwa na kilaza FF
 
Nimeipenda hoja yako na naelekea kuiunga mkono lakini nisaidie nitapataje fursa ya kumchagua kiongozi nimpendaye ilihali sina kitambulisho cha mpiga kura na kuna kila dalili kwamba sitakipata kabla ya tarehe ya kupiga kura. Hapa kuna kupiga kura ya maoni ya katiba mpya mwezi wa nne nitapigaje kama sina kitambulisho au wale watu milioni tano waliyofanya uchaguzi 2010 ndiyo hao hao watakaoruhusiwa kupiga kura? Nauliza tu kwa sababu nachanganyikiwa.

Usiandikie mate na wino upo. Ngoja wakati wa kupiga kura ufike kama hautokuwa na kitambulisho ueleze kwa nini.
 
Back
Top Bottom