Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Hakuna ajuwae ataondoka lini, wacha kukufuru. Wanaondoka waliozaliwa leo na yote ni shani yake Allah.

Wewe sijui ni lini ila ni karibu mno.....alafu nahisi pia unasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni....mengi tuu.....maana huku siku hizi ni pumba tuu unamwaga.....kwa kwenda mbele
 
Wewe sijui ni lini ila ni karibu mno.....alafu nahisi pia unasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni....mengi tuu.....maana huku siku hizi ni pumba tuu unamwaga.....kwa kwenda mbele

Mimi nnatembea na kifo toka siku niliyozaliwa. Labda wewe ndiye utaishi maisha.
 
faizaFox hoja yako haina mashiko, katiba ya MaCCM haina mwanya wa mgombea binafsi, lazima atokane na chama!!
MaCCM wote wameoza tunachagua toka UKAWA!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo mnavyodanganyana huko kweny masinagogi ya kijasusi

Isaiah 57:1-2

The righteous perish, and no one ponders it in his heart; devout men are taken away, and no one understands that the righteous are taken away to be spared from evil. Those who walk uprightly enter into peace; they find rest as they lie in death.

That sounds like Islam to me.

Qur'an 2:208 O ye who believe! Enter into peace whole-heartedly; and follow not the footsteps of Satan (the evil one); for he is to you an avowed enemy)
 
Ata nikipigwa ban humu popote nitakapo kukuta FaizaFoxy lazima nikuchafue......hutakiwi kuishi kwa raha humu unachafua watu na chuki zako za kidini
 
Ata nikipigwa ban humu popote nitakapo kukuta FaizaFoxy lazima nikuchafue......hutakiwi kuishi kwa raha humu unachafua watu na chuki zako za kidini

Utapigwa ban ndugu yangu. ...FaizaFoxy ni mmja wa mod. Be careful kuna double standard humu
 
faizaFox hoja yako haina mashiko, katiba ya MaCCM haina mwanya wa mgombea binafsi, lazima atokane na chama!!
MaCCM wote wameoza tunachagua toka UKAWA!!

Hata Kikwete alivyochaguliwa kwa kishindo alikuwa na chama na alichaguwa na wa CCM na wa vyama vingine na wasiokuwa na vyama pia.

Soma vizuri post namba moja, wacha kiherehere.
 
Utapigwa ban ndugu yangu. ...FaizaFoxy ni mmja wa mod. Be careful kuna double standard humu

Labda wafunge kabisa account yangu jf.....otherwise mwendo huu huu mpaka infinity....na ninaweza pia kuja na fake id
 
Back
Top Bottom