Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Wakati wabongo mnabishana kwa ujinga na kuvuta mashuka asubuhi Somaliland via Kampuni ya Dubai wanafanya yao kwenye Logistics Industry.

siku bandari kubwa zikijaa ukanda huu na hiyo Bagamoyo itakapokuja kuonekana haina maana tena ndio akili zitakaa sawa.Ukanda wote wa Somalia ni potential kuliko huku kwetu.

👇👇👇

Screenshot_20210629-162013.png

Screenshot_20210629-162003.png

Screenshot_20210629-162013.png
 
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.
Hizi ndo zile mada ambazo watu tukisema ukweli, akina Titicomb wanatuambia tuna maslahi na China!!!

Yaani JF asiye na maslahi na China ni yule anayekubali kulishwa propaganda... na anakubali kulishwa propaganda, kwa sababu hataki kutafuta ukweli!!

Sasa ndugu yangu Meneja wa Makampuni, hao waandishi wa LESSON FROM SRI LANKA Hambatonta Port, wao waliingia field kufanya research au walikuwa wanatumia taarifa zinazochapwa magazetini kama vile makala za New York Times?!!

Nauliza hivyo kwa sababu mimi nina ripoti kabisa za Wasomi kutoka huko huko USA ambao baada ya kuhisi serikali yao inadanmganya watu, wakaamua kuingia field na kufanya research!!! Moja ya hizo ripoti ni June 2020 Working Paper ya The China-Africa Research Initiative iliyo chini ya Johns Hopkins University School of Advanced International Studies.

Narudia, hao sio waandishi wa articles bali researchers na hata ukiingia kwenye page yao wanakuambia:-
The China Africa Research Initiative at the Johns Hopkins University School of Advanced International Studies’ publications are based on rigorous, evidence-based research. CARI research is grounded in a mixed methodology approach that combines quantitative and qualitative methods and includes both desk studies and in-country fieldwork. Research is conducted by CARI staff, fellows, and affiliated researchers.
Ripoti ambayo waliitoa ni Working Paper, na linapokuja suala la Working Paper, wenyewe wanakuambia:-
Working Papers take a deep dive into a single research topic. Working papers are meant to inform China-Africa academics and experts about developments in the field. The papers detail the research’s methodology, findings, and discusses implications for policy makers or for future research.
Timu ambayo iliandaa hiyo Working Paper iliongozwa na Deborah Brautigam. Ukim-Google huyo mama, utakuta habari zake kirahisi tu!

Now the same question: Hizo reference zako na wenyewe waliingia field kufanya research?

Nasisitiza hilo kwa sababu moja tu: Kama unataka kutumia mfano wa Bandari ya Hambatonta kufanya propaganda, well and good, lakini kama lengo lako sio propaganda, narudia tena kama nilivyowahi kusema mara kadhaa siku za nyuma: SUALA LA BANDARI YA HAMBATONTA NI UONGO... HIZO NI PROPAGANDA ZA US GOVERNMENT NA MEDIA ZAO ILI KUZITISHA NCHI ZISIJIUNGE KWENYE BELT & ROAD INITIATIVE YA HASIMU WAKE MKUU KIBIASHARA!!

Kwanza niseme jambo moja! I have no problem mtu kupinga Mradi wa Bandari ya Bagamoyo lakini ni vema wakati mtu unapinga uchague kupinga kwa kutumia personal analysis au kupinga kupitia propaganda ulizojazwa!!
 
JPM alipokataa huu mradi alishauriwa na wataalamu wa kiuchumi waliobobea, ni wataalamu gani tena wameukubali? Naomba mzee Musiba utoe mawazo yako ya kina.
 
Hizi ndo zile mada ambazo watu tukisema ukweli, akina Titicomb wanatuambia tuna maslahi na China!!!

Yaani JF asiye na maslahi na China ni yule anayekubali kulishwa propaganda... na anakubali kulishwa propaganda, kwa sababu hataki kutafuta ukweli!!

Sasa ndugu yangu Meneja wa Makampuni, hao waandishi wa LESSON FROM SRI LANKA Hambatonta Port, wao waliingia field kufanya research au walikuwa wanatumia taarifa zinazochapwa magazetini kama vile makala za New York Times?!!

Nauliza hivyo kwa sababu mimi nina ripoti kabisa za Wasomi kutoka huko huko USA ambao baada ya kuhisi serikali yao inadanmganya watu, wakaamua kuingia field na kufanya research!!! Moja ya hizo ripoti ni June 2020 Working Paper ya The China-Africa Research Initiative iliyo chini ya Johns Hopkins University School of Advanced International Studies.

Narudia, hao sio waandishi wa articles bali researchers na hata ukiingia kwenye page yao wanakuambia:-

Ripoti ambayo waliitoa ni Working Paper, na linapokuja suala la Working Paper, wenyewe wanakuambia:-

Timu ambayo iliandaa hiyo Working Paper iliongozwa na Deborah Brautigam. Ukim-Google huyo mama, utakuta habari zake kirahisi tu!

Now the same question: Hizo reference zako na wenyewe waliingia field kufanya research?

Nasisitiza hilo kwa sababu moja tu: Kama unataka kutumia mfano wa Bandari ya Hambatonta kufanya propaganda, well and good, lakini kama lengo lako sio propaganda, narudia tena kama nilivyowahi kusema mara kadhaa siku za nyuma: SUALA LA BANDARI YA HAMBATONTA NI UONGO... HIZO NI PROPAGANDA ZA US GOVERNMENT NA MEDIA ZAO ILI KUZITISHA NCHI ZISIJIUNGE KWENYE BELT & ROAD INITIATIVE YA HASIMU WAKE MKUU KIBIASHARA!!

Kwanza niseme jambo moja! I have no problem mtu kupinga Mradi wa Bandari ya Bagamoyo lakini ni vema wakati mtu unapinga uchague kupinga kwa kutumia personal analysis au kupinga kupitia propaganda ulizojazwa!!
Mkuu Chige I'm following closely.
Weka mzigo wote hapa tujifunze.
Tuko pamoja 'no hard feelings'.
 
Chinese nuksi sana, kaeni mbali nao, plz plz, plz, hao sio watu, Bandari ya Mombasa Kenya muda si mrefu inachukuliwa na China, sbb ya mikopo yao. China sio kabisa hakuna bepari mbaya kama China. Nendeni Zambia muone nn kinaendelea, Ethiopia wana mkopo mbaya sana wa China, nendeni Sri Lanka ni hatari sana hawa Chinese
 
Mkuu Chige I'm following closely.
Weka mzigo wote hapa tujifunze.
Tuko pamoja 'no hard feelings'.
Mzigo tu?! Wala usiwe na hofu... namsubiri kwanza Meneja Wa Makampuni kwa sababu inawezekana source yake inatokana na utafiti ingawaje I doubt!!

Au labda niseme jambo moja... kwavile ripoti ni ndefu, subiri ni-settle kwanza in the next couple of hours ili nipate wasaa wa kukwanyua zile sehemu zinazohusiana na suala la Bandari ya Hambatonta!!
 
Back
Top Bottom