Watano wauawa huko Nyantorotoro - Geita

Magaidi!! Hivi hii nchi munaham na magaidi sana waishambulie mbona munapenda tumia tittle yao kila mara munapotaka kuwaonea waislam na wasionekane ni watu wanaofaa katika jamii.
kuweni serious basi…!!
 
Salama Mrisho wa Star TV
ameleta habari sasa hivi za mauaji ya Raia 5 waliouliwa kinyama na
magaidi bila ya hatia.

Magaidi watatu wanashikilwa na Polisi hadi sasa kwa tukio hilo.

Watanzania tuungane tuutokomeze ugaidi, wanatumalizia raia zetu wema
hawa magaidi.

MAGAIDI?
Naomba kufahamishwa, Magaidi ndiyo watu gani?
 
Hata kibaka naye gaidi na wamafisadi, wanaouwa tembo, wauza unga hawa ndo magaidi no 1
 
Wala si opereshen yoyote ile, ni magaidi yameamua kuuwa watu watano, si unajuwa magaidi yanapenda kumwaga damu za watu bila ya sababu.

Kwani magaidi/majambazi huwa hayana operesheni?
 
Hili ni janga kubwa sana kwa Taifa letu hakika inabidi ugaidi utokomezwe haraka sana
 
Kwani magaidi/majambazi huwa hayana operesheni?

Walikuwa kwenye opereshen ya kuuwa na wamefanikiwa kuuwa watano na magaid watatu wanashikiliwa na polisi hadi sasa na inaonekana wengine zaidi watashikwa.
 
Ht mm najiuriza km bikira Maria alitokewa na maraika mwezi wa 6 nakupata ujauzito mwezi huo, iweje yesu azaliwe mwez wa december 25 inamaana mimba ilika miez 6? Kwa kawaida mwanamke akipata ujauzito huka miez 9. Najua mtajb kua yeye ni mungu au mwana wk pekee wa mungu, km nikwel wap maandiko yameandikwa? Achen kusherehekea ckukuu za ku2ngwa.

Ushauli wangu IDD ndio ckukuu peke iliyo sahihi ht km c mkristo, kwa maana imeandikwa hat kwenye BIBLIA
 
Hata kibaka naye gaidi na wamafisadi, wanaouwa tembo, wauza unga hawa ndo magaidi no 1

Inawezekana kuna ukweli katika uyasemayo. Mimi nimeandika kuhusu magaidi waliouwa watu 5 (watano) huko Nyantorotoro - Geita.
 
Tangia nione tukio la westgate halafu mtu hapa tanzania akiita vibaka magaidi huwa nahisi brain yake itakuwa haipo vizuri.
 
Usiku wa kuamkia jana, kuna jirani yangu alivamiwa na magaidi nyumbani kwake na wakafanikiwa kuiba baadhi ya vifaa vya gari yake aliyoipaki uani kwake.
Hata hivyo magaidi wote walikimbia baada ya kusikia mlango ukifunguliwa na jirani yangu huyo.
Tuwe makini jamani.
 
Back
Top Bottom