Watano wauawa huko Nyantorotoro - Geita

Nafikiri watanzania wengi tunatumia neno Gadi bila kujua tafisiri yako vizuri,kitu ambacho huleta shida katika uchangiaji wa hoja na kupotosha mtiririko wa mawazo
sawa na tunavyochanganya matumizi ya maneno MHANGA NA MUATHIRIKA
tujirekebishe jamani,au tunahamu na magaidi nini lol!
 
Neno "GAIDI" halitumiwi sawasawa,na sasa TANZANIA inawasafisha sana WAKENYA kimataifa maana inaonekana ugaidi upo TZ kuliko KENYA wakati sio kweli.ni mambo ya walewale viongozi mizigo walioshindwa hata propaganda za Rwanda ila wanaweza kwa wapinzani.ZERO BRAIN.
 
Salama Mrisho wa Star TV ameleta habari sasa hivi za mauaji ya Raia 5 waliouliwa kinyama na magaidi bila ya hatia.

Magaidi watatu wanashikilwa na Polisi hadi sasa kwa tukio hilo.

Watanzania tuungane tuutokomeze ugaidi, wanatumalizia raia zetu wema hawa magaidi.

Waliokuwa wanaimba ugaidi ugaidi eti watatoa ushahidi hata Mbinguni................. walisahau kinywa kinaumba! Mungu awarehemu waliokufa.
 
me nimekwazika na nimemjibu,,,,,sipend sana kashfa za kidini,na ndo hunisababishia ban hapa,maana mtu akiikashifu dini yangu hunikera sana,unless huu mtandao uwe wa kikanisa usimpe ban huyu jamaa

Mod wako makini sana atakuwa ameshakula haki yake huyu MNYISANZU.unajua kun watu mi huwa sitaki hata kuwajibu kwa sbb wanasababishaga mi nile BAN na kuniharibia siku bure,kuna jamaa wiki kama tatu hivi zilizopita walinisababishia matatizo makubwa mno nikapewa BAN ingawa ilibidi niwaambie Mods kwa sbb walichelewa kumuwajibisha akasababisha watu wengi kweli waliwe na BAN!!

sasa huyu jamaa ukifikiria kwa makini hiyo comment yake hiyo unajiuliza maswali mengi sana.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri watanzania wengi tunatumia neno Gadi bila kujua tafisiri yako vizuri,kitu ambacho huleta shida katika uchangiaji wa hoja na kupotosha mtiririko wa mawazo
sawa na tunavyochanganya matumizi ya maneno MHANGA NA MUATHIRIKA
tujirekebishe jamani,au tunahamu na magaidi nini lol!

Sasa watu wanaua watu 5 Watano bila hatia unawaitaje hao wauwaji kama si magaidi?
 
Waliouawa ni majambazi waliokuwa wameenda kuvamia kwenye kilio kwa lengo la kuiba pesa ya rambimbi ndipo wananchi wenye hasira kali wakawapiga hadi kuwaua, na sio kwamba majamczi ndio yameua raia wema. Tukio hili limetokea usiku wa kuamukia jana tr 27 dec 2013. Mleta uzi ameamua kuwasafisha waharifu kimyakimya hatujui ana lengo gani.
 
Ht mm najiuriza km bikira Maria alitokewa na maraika mwezi wa 6 nakupata ujauzito mwezi huo, iweje yesu azaliwe mwez wa december 25 inamaana mimba ilika miez 6? Kwa kawaida mwanamke akipata ujauzito huka miez 9. Najua mtajb kua yeye ni mungu au mwana wk pekee wa mungu, km nikwel wap maandiko yameandikwa? Achen kusherehekea ckukuu za ku2ngwa.

Ushauli wangu IDD ndio ckukuu peke iliyo sahihi ht km c mkristo, kwa maana imeandikwa hat kwenye BIBLIA

Hili linaingiaje hapa we Kitumbua.!?
 
Sasa watu wanaua watu 5 Watano bila hatia unawaitaje hao wauwaji kama si magaidi?
kwataarifa ni kuwa hao watu watano walikuwa wanaiba fedha za rambirambi tsh 60000/=hivyo hao walio ua wafaa waitwe wananchi wenye hasira kali.
 
Salama Mrisho wa Star TV ameleta habari sasa hivi za mauaji ya Raia 5 waliouliwa kinyama na magaidi bila ya hatia.

Magaidi watatu wanashikilwa na Polisi hadi sasa kwa tukio hilo.

Watanzania tuungane tuutokomeze ugaidi, wanatumalizia raia zetu wema hawa magaidi.
Hivi naomba niulize ni kitu au jambo gani ndilo linalotambulisha kwamba "muuaji" ni ya kigaidi. Na huu ugaidi ni nini? Natafakari sipaji jibu ni nini?
1. Aina ya silaha iliyotumika?
2. Lengo la muuaji? Na ni nani anyesema muuaji vyombo vya dola au vyombo vya habari?
3.Idadi ya watu waliouawa kwenye tukio?
4. Itikadi au dini ya wauaji?
5. Ni mrengo wa kisiasa ya wauaji?
Nauliza haya kwa sababu hata Mzee Madiba alishatuhumiwa kuwa ni gaidi wakati fulani. lakini pia operesheni tokemeza ujangili pia watu wameuawa na wengine wameswa. Kilindi pia watu wameauwa na kuchomewa nyumba kwa kisingizio cha ugaidi. Kuwaua raia wasio na siliha je huu si ugaidi? Au dola kuuwa raia wake haiwezi kuwa ni Ugaidi?
images

Quotation-Dwight-D-Eisenhower-terrorism-america-hurt-Meetville-Quotes-53296.jpg
 
Wewe ni Zomba kweli kweli!
Nimeuliza, Magaidi ni watu gani?
Mbona unajikanyaga?

Of course mimi Zomba kweli kweli, ulifikiri utani? Ulitaka nikujibu nini? labda kuna jibu ushajitayarisha nijulishe nami ntalitumia jibu lako kukujibu. Langu ndio hilo, ukipenda lipokee hukupenda nipe lako nikujibu.
 
kwataarifa ni kuwa hao watu watano walikuwa wanaiba fedha za rambirambi tsh 60000/=hivyo hao walio ua wafaa waitwe wananchi wenye hasira kali.

Hapana hao ni magaidi hakuna sheria yoyote duniani inayoamuru anaeiba 60,000 basi auliwe, licha ya watano hata angekuwa mmoja tu. Hao waliouwa ni magaidi tu. Msitetee uozo.

tena ni ugaidi uliopitiliza mipaka yote ya utu. Uuwe watu watano kwa 60,000/=? hiyo inaingia akilini mwako?
 
Waliouwa ni magaidi, unawaitaje watu wanaouwa watu 5?

ter·ror·ist - /ˈterərist/
Noun:
1. A person who uses terrorism in the pursuit of
political aims

ter·ror·ism - /ˈterəˌrizəm/
Noun:
1. The use of violence and intimidation in the
pursuit of political aims
 
Hii habari mbona inaelea mno angani,hebu mleta uzi ipe miguu iweze kusimama au mikono ishike sehemu
angalau ungeiita tetesi,na uombe wenye taarifa zaidi watujuze,hivi hivi mi naona haina mashiko.
 
Salama Mrisho wa Star TV ameleta habari sasa hivi za mauaji ya Raia 5 waliouliwa kinyama na magaidi bila ya hatia.

Magaidi watatu wanashikilwa na Polisi hadi sasa kwa tukio hilo.

Watanzania tuungane tuutokomeze ugaidi, wanatumalizia raia zetu wema hawa magaidi.

ee mungu 2saidie
 
Hapana hao ni magaidi hakuna sheria yoyote duniani inayoamuru anaeiba 60,000 basi auliwe, licha ya watano hata angekuwa mmoja tu. Hao waliouwa ni magaidi tu. Msitetee uozo.

tena ni ugaidi uliopitiliza mipaka yote ya utu. Uuwe watu watano kwa 60,000/=? hiyo inaingia akilini mwako?

Kuna jamaa yangu kareem aka wakuchutama mwaka 2005 udsm wakati wa kikao cha kutaka kugoma kuna msemo aliusema ambao "Mtu mzima Taulo likikuvuka Chutama tu" mpaka leo jina lake likabadirika kutoka kareem mpaka wakuchutama yupo sana kwenye mijadara ya malumbano ya hoja ITV,nami nakuambia Zomba taulo limekuvuka chutama tu ukizidi kukimbia unazidi kujihaibisha.
 
Usiku wa kuamkia jana, kuna jirani yangu alivamiwa na magaidi nyumbani kwake na wakafanikiwa kuiba baadhi ya vifaa vya gari yake aliyoipaki uani kwake.
Hata hivyo magaidi wote walikimbia baada ya kusikia mlango ukifunguliwa na jirani yangu huyo.
Tuwe makini jamani.

Ha ha ha! Haki ya Mungu, hii kaaaazi kweli kweli! Kila mwizi ni gaidi sasa!
 
Back
Top Bottom