Watano wauawa huko Nyantorotoro - Geita

Watano wauawa huko Nyantorotoro - Geita

Hapana hao ni magaidi hakuna sheria yoyote duniani inayoamuru anaeiba 60,000 basi auliwe, licha ya watano hata angekuwa mmoja tu. Hao waliouwa ni magaidi tu. Msitetee uozo.

tena ni ugaidi uliopitiliza mipaka yote ya utu. Uuwe watu watano kwa 60,000/=? hiyo inaingia akilini mwako?
hayo ya sheria unajua wewe na uozo unaosema wewe kwangu hauna nafasi bali nimejibu swali lako kama ulivyo uliza,wale wanochomwa moto kwasababu ya kuiba sheria ipo na kama haipo imekuwa je? naomba jibu hapo
 
ter·ror·ist - /ˈterərist/
Noun:
1. A person who uses terrorism in the pursuit of
political aims

ter·ror·ism - /ˈterəˌrizəm/
Noun:
1. The use of violence and intimidation in the
pursuit of political aims
cc zomba
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari kilisema Magaidi wauwa watano...
Moderator kaamuwa kudanganya kwa kubadilisha na kuandika majambazi waua 5.

Tafadhali Viwango rudisha kichwa cha habari kama kilivyokuwa unapotosha umma.

Kwanza uwe na adabu!
Mods huwa hawapotoshi,wako hapa kwa ajili ya kuhakikisha kila kitu kiko sawa humu jukwaani!

Wanaweza ku-verify mahali husika na kuweka sawa kama jambo halieleweki vizuri na mleta mada kama hili lako!

Lakini pia sisi wanachama wa jf tunaruhusiwa kufuatilia jambo na kuwaeleza mods kama unaweza kufanya hivyo kama kuna utata!

Sasa ngoja tukusaidie hili jambo vizuri,

Kwanza hakuna gaidi aliyeua,wala aliyeuawa!

Pili Watu waliouawa ni watano na ni vibaka ambao jana wallikwenda kuvamia msibani na kukwapua sahani iliyokuwa na fedha za rambirambi shilingi 67,000 na wakaondoka nazo!

Tatu baada ya kuondoka uongozi wa Sungusungu wa katika kijiji hicho walianza msako na kubahatika kumpata mmoja wao ambaye baada ya kumhoji alikiri na kuwataja wenzake wanne!

Baada ya kuwataja wakakamatwa na sungusungu,wakati wanaendelea kuhojiwa wananchi wakapata taarifa wakawafuata wakaanza kuwasahambulia kwa mawe na silaha zingine za jadi!

Mmoja alivunjwa miguu yote wawili,waliotambuliwa majina ni wawili,mmoja ametambuliwa kwa jina moja na wengine bado hawajatambuliwa jina hata moja!

Hao ni vibaka,wawili waliotambuliwa majina nimMarwa Chacha,Shija Mlingwa,Ezekiel,wakazi wa nyantorotoro wawili hawajafahamika.

Polisi wanawashikilia watu watatu akiwemo wa kiongozi mmoja wa sungusungu,wanaume wote wamekimbia familia zao kwa hofu ya kukamatwa.

Haya ni maelezo kamili niliyoyapata kutoka kwa kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Leonard Paul katika mahojiano kati yangu na yeye kwa njia ya simu!

mtoa mada alitaka tu kupamba habari ili ipate sapoti ya wana JF!

Kwa hiyo mods mnaweza kubadili kichwa cha habari vyovyote vile kulingana na hayo maelezo niliyowapa hapo juu,tusipende kuwapa watu presha huu ni mwisho wa mwaka.
 
Last edited by a moderator:
Hapana hao ni magaidi hakuna sheria yoyote duniani inayoamuru anaeiba 60,000 basi auliwe, licha ya watano hata angekuwa mmoja tu. Hao waliouwa ni magaidi tu. Msitetee uozo.

tena ni ugaidi uliopitiliza mipaka yote ya utu. Uuwe watu watano kwa 60,000/=? hiyo inaingia akilini mwako?

kama bado una browse hapa basi mods wanafurahia wewe kukashfu uislam,mxiiiiiiiu
 
Kwanza uwe na adabu!
Mods huwa hawapotoshi,wako hapa kwa ajili ya kuhakikisha kila kitu kiko sawa humu jukwaani!

Wanaweza ku-verify mahali husika na kuweka sawa kama jambo halieleweki vizuri na mleta mada kama hili lako!

Lakini pia sisi wanachama wa jf tunaruhusiwa kufuatilia jambo na kuwaeleza mods kama unaweza kufanya hivyo kama kuna utata!

Sasa ngoja tukusaidie hili jambo vizuri,

Kwanza hakuna gaidi aliyeua,wala aliyeuawa!

Pili Watu waliouawa ni watano na ni vibaka ambao jana wallikwenda kuvamia msibani na kukwapua sahani iliyokuwa na fedha za rambirambi shilingi 67,000 na wakaondoka nazo!

Tatu baada ya kuondoka uongozi wa Sungusungu wa katika kijiji hicho walianza msako na kubahatika kumpata mmoja wao ambaye baada ya kumhoji alikiri na kuwataja wenzake wanne!

Baada ya kuwataja wakakamatwa na sungusungu,wakati wanaendelea kuhojiwa wananchi wakapata taarifa wakawafuata wakaanza kuwasahambulia kwa mawe na silaha zingine za jadi!

Mmoja alivunjwa miguu yote wawili,waliotambuliwa majina ni wawili,mmoja ametambuliwa kwa jina moja na wengine bado hawajatambuliwa jina hata moja!

Hao ni vibaka,wawili waliotambuliwa majina nimMarwa Chacha,Shija Mlingwa,Ezekiel,wakazi wa nyantorotoro wawili hawajafahamika.

Polisi wanawashikilia watu watatu akiwemo wa kiongozi mmoja wa sungusungu,wanaume wote wamekimbia familia zao kwa hofu ya kukamatwa.

Haya ni maelezo kamili niliyoyapata kutoka kwa kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Leonard Paul katika mahojiano kati yangu na yeye kwa njia ya simu!

mtoa mada alitaka tu kupamba habari ili ipate sapoti ya wana JF!

Kwa hiyo mods mnaweza kubadili kichwa cha habari vyovyote vile kulingana na hayo maelezo niliyowapa hapo juu,tusipende kuwapa watu presha huu ni mwisho wa mwaka.
hongera kwa taarifa walau iliyona mashiko,kula like mkuu
 
kama bado una browse hapa basi mods wanafurahia wewe kukashfu uislam,mxiiiiiiiu

Mkuu bonyeza kitufe cha Report Post hapo kulia kwako utaongozwa namna ya kufanya na mods wataiona na kumshughulikia mara,ingawa naamini wengi wameshamripoti huyu jamaa nikiwemo mimi,bahati mbaya natumia Tablet ambayo hainioneshi kama mtu amekula BAN sasa sijui kama bado yumo huyu,lakini kama unamuona bonyeza hapo,mi simuoni!!
 
hongera kwa taarifa walau iliyona mashiko,kula like mkuu

Ubarikiwe sana mkuu bahati mbaya sana Tablet (GALAXY Tab) yangu hainionyeshi sehemu ya LIKE lakini amini kwamba nami nimekupa LIKE mkuu!
 
Siku nyingine ukileta habari humu tumia akili na ufanye uchunguzi usituharibie siku wengine tukisikia gaid tunatetemeka™
 
Sasa watu wanaua watu 5 Watano bila hatia unawaitaje hao wauwaji kama si magaidi?
ni magaidi tangiapo,kwasababu wameua watu wasio na hatia sababu the so called vibaka hawajakutwa na hatia na mahakama yeyote.
 
Nilichokigundua mpaka hapa ni kwamba, inawezekana kabisa wewe pamoja na Zomba si Watanzania na lengo lenu ni kujaribu kuifanya hii ishu iwe kama ishu ya Mtwara ili muiweke kwenye blog zenu za nchi jirani ili muweke yale matangazo yenu ya 'Terrorism in Tanzania' mliyokuwa mmeyasambaza dunia nzima ili kutuchafua!!

Bahati mbaya yakaja yakawakumba nyie mkawa mnajifariji kwa kujipa pole na kudai eti 'magaidi yaliongea Kiswahili!!!' Mtahangaika sana jombaa, Tanzania haina ugaidi, Tanzania imebarikiwa!!
 
Kikundi cha watu kinachouwa watu watano hapo hapo kwa TZS 60,000/= kwa mtazamo wako hao sio magaidi? au kwa kuwa walikuwa sio Waislaam?
 
Siku nyingine ukileta habari humu tumia akili na ufanye uchunguzi usituharibie siku wengine tukisikia gaid tunatetemeka™

Sasa kikundi cha watu kiue watu watano eti kwa elfu sitini halafu wewe unasema hao si magaidi? hivi uko timamu kabisa?
 
Kikundi cha watu kinachouwa watu watano hapo hapo kwa TZS 60,000/= kwa mtazamo wako hao sio magaidi? au kwa kuwa walikuwa sio Waislaam?

Habari zimewekwa sawa kwamba, vibaka wamepora sadaka then msako wa kuwatafuta ukafanyika na walipopatikana wananchi wenye hasira wakawapiga mpaka kuwauwa!!! Wametumia silaha za jadi mawe na mapanga, ingekuwa aliyeuwawa hakushukiwa kwa kosa lolote!! Kafuatwa tu na kukamatwa na kupigwa mpaka kuuawa hapo pengine lakini ugaidi ni lazima pawe na swala la utekaji, unyanyasaji na madai/maslahi!!

Gaidi hawezi kuja kwako na kukuteka na kukuua bila sababu!! Huwa wana mashinikizo na misukumo nyuma ya wanayoyafanya.

Idadi ya wanaouawa kwenye tukio haiwezi kusababisha tukio kuitwa ni la kigaidi, zaidi ya hapo utakuwa na maslhahi na hili neno gaidi unavyolazimisha kuwaaminisha watu kuwa ni tukio la kigaidi.
 
Kikundi cha watu kinachouwa watu watano hapo hapo kwa TZS 60,000/= kwa mtazamo wako hao sio magaidi? au kwa kuwa walikuwa sio Waislaam?

Mods huyu jamaa tumemripoti muda mwingi sana kwa sbb anaonekana anataka kuwa mchochezi sasa akiendelea hivi mi mtanipiga BAN muda si mrefu!
 
Back
Top Bottom