Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Sisi wa mikoani ndio tuna walisha uko mjin hatuli chips but sisi ndio tuna zalisha viaz
 
f19749dc102c2fccb872d460e9622daa.jpg
Wanaume wa dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"...Wa Dar v/wa mikoani". Huwa nasoma comment nikiwa natabasamu
 
View attachment 687006 Wanaume wa mikoani ni watafutaji na si wavivu, wanajuwa wajibu wa kutunza familia zao, wengi hawana matatizo ya nguvu za kiume, hawana muda wa kupoteza, wao ni kazi tu, na tuko shupavu. Tatizo la wanaume vigarasa wa Dar ni kule kuiga kila ujinga utokao nje, kuvaa huku chupi ikiwa nje, wavivu, wambea, hawana nguvu za kiume, wengi wao wananuka makwapa na mdomo japo wako mjini, wanapenda sana kujifananisha na wanawake, kutongoza wanawake kwao ni ishu na akipata demu wa kugegeda basi kila mtu atajuwa mtaani, si watafutaji, wanapenda sana ushoga au utata, wako very useless. Idadi kubwa ya wanaume wa Dar ni kama hapo juu, hawana ishu yeyote mjini....wako bize kunywa gongo, kusikiliza fleva, na ujinga usiowasaidia chochote maishani.
Kama kweli huko mikoani siyo wavivu na wanajituma kinachozuia hiyo mikoa kua na hadhi kama Dar ni nini?

Acha kukaririshwa vitu mnyasa wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom