Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

cd4d092a1084271d042ef897797d1f79.jpg
wanaume wa dar mnaweza vitu kama hivi tu.
Huyu ni wa Tanga tu si unaona jicho lake
 
Sisi ndiyo wanaume wa Dar sisi ni wabaya.

Wajinga wajinga nyie wazamiaji Magufuli kabana kidogo akasema hadi mwezi wa saba urudi kijijini kwenu ukachimbe chumvi umeshindwa kumaintain umehamishwa mji kibabe na jamaa wa kolomije.

Halafu mmefika huko mnajifanya mnakandia wanaume wa Dar shenzi
Wooooooozaaaaa
 
sasa mkuu huoni kama utakua umeuundia UKAWA mkoa mmoja wa dar(kama alivyofanya daimondi kwa alikiba)[emoji12][emoji12][emoji12]
 
mfano unamwambia kaka nakuja huko kibiashara, utasikia aisee karibu sana
ukishafika utasikia aise sasa hivi nimabanana
siku ya kwanza inapita mpaka unaondoka, unamwambia aisee mi nitaondoka kesho,
hapo unasikia usijari sema bro umekuja pindi nipo taiti kinoma ila pamoja sana tutamiti

haya yeye akija mikoani utasikia bro nakuja
uasikia bro nimemiss kuku wa kienyeji ile mbaya unamkaribisha anakula kama anahama akimaliza hivi hapa wapi kuna ukumbi wa mpira unampeleka sasa ujinga wao wanataka muda wote uwe nao bampa to bampa
 
Kama kweli huko mikoani siyo wavivu na wanajituma kinachozuia hiyo mikoa kua na hadhi kama Dar ni nini?

Acha kukaririshwa vitu mnyasa wewe


Wewe kweli ni mwanamme wa Dar asilia, yaani mpaka unafikiri hayo magorofa ya Dar yamejengwa na vijana wenzako kwa kweli mpaka hapa umeniacha hoi, yaani nimechekaje? Hivi hujuwi kuwa serikali yako ndiyo inayojenga hayo magorofa? Kwa makusudi serikali ilielekeza maendeleo yote Dar na kusahau mikoani, na sisi huku tumejenga viwanjani kwetu majumba si vijumba kama vya Msoga (mbavu za mbwa). Wanaume wa Dar bwana, yaani mpaka kufikiri imekuwa ishu kwenu? Wacheni kuendekeza bongo fleva na ujinga wa kusuka nywele, tutawaoa....shauri yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom