Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Ndio maana nakupenda..
2d9f17a30591a9aa7fce1c0731fd4ba8.jpg
Asante Kwanza kwenye sekta ya ulevi bure kabisa wanajishaua kunywa savvana yani hapo tu wanaponichosha sasa Kama wanakunywa savvana watapata wapi nguvu za kupiga game mm mwenyewe mwanamke wako mkoani napiga nyagi Nikipata mwanaume wa Dar nahisi nitamuacha siku moja
 
Kimtindo mshana anajifanya yuko fair anauma na kupuliza hahahahaha halafu itakua anatafuta pa kushusha gallery yake
 
Asante Kwanza kwenye sekta ya ulevi bure kabisa wanajishaua kunywa savvana yani hapo tu wanaponichosha sasa Kama wanakunywa savvana watapata wapi nguvu za kupiga game mm mwenyewe mwanamke wako mkoani napiga nyagi Nikipata mwanaume wa Dar nahisi nitamuacha siku moja
 
Sisi ndiyo wanaume wa Dar sisi ni wabaya.

Wajinga wajinga nyie wazamiaji Magufuli kabana kidogo akasema hadi mwezi wa saba urudi kijijini kwenu ukachimbe chumvi umeshindwa kumaintain umehamishwa mji kibabe na jamaa wa kolomije.

Halafu mmefika huko mnajifanya mnakandia wanaume wa Dar shenzi
 
Sasa eti mwanaume anatokea Tanga, kweli? Na wewe unajihesabu mwanaume?
Mjinga sana unabebwa na mkeo kwenda kuoga unaogeshwa.

Kuna tofauti gani masaji ninayofanyiwa hapo Miriam Magic Hands na unayofanyiwa na mkeo? Yea tofauti ipo, wewe ukimaliza hapo unabebwa unaenda kubembelelzwa ulale
 
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande..

Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke ishu za vibamia na kina Mario...

Kina sugar daddy na sugar mummy. Wa mikoani mupo?

Twende kazi..
Kuna wenzenu shule ndio imewaleta mjini hapa wakazamia, sasa hivi wanaambiwa warudi makao makuu wanalialia utafikiri huko mkoani ni jehanamu, unafanya mchezo na Dar wewe!
 
Asante Kwanza kwenye sekta ya ulevi bure kabisa wanajishaua kunywa savvana yani hapo tu wanaponichosha sasa Kama wanakunywa savvana watapata wapi nguvu za kupiga game mm mwenyewe mwanamke wako mkoani napiga nyagi Nikipata mwanaume wa Dar nahisi nitamuacha siku moja
Mm nisiyekunywa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom