Watangazaji wanaokubalika katika Idhaa za Kiswahili

Thinker96

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
311
66
Habari zenu wakuu,

Nashukuru kwa fursa hii huenda kukawa kuna makosa katika uandishi wa majina ya hawa ndugu zangu ambao nawakubali huenda kwa uwezo wao binafsi katika nyanja ya utangazaji na uwakilishi katika baadhi ya idhaa za Kiswahili, nashukuru kwa kupewa nafasi,

1. Oumylakher Amidou-DW
2. Vicent Mokori-VOA
3. Othuman Miraji-DW
4. Lubunga Biyaombe-BBC
5. Othuman Dodo Abdallah-RFI
6. Kazungu Rose-BBC
7. Dina Shahari-BBC
8.
9.

Niambie na wengine ambao huenda unawakubali...
 
kuna yule mtangazaji wa bbc anayesoma ujumbe mfupi wa maneno jina nimesahau, pia zuhra yunus, huyu napenda jinsi anavyotamka maneno ga kiswahili. ali join bbc akitokea mwananchi communications dsm.
 
kuna yule mtangazaji wa bbc anayesoma ujumbe mfupi wa maneno jina nimesahau, pia zuhra yunus, huyu napenda jinsi anavyotamka maneno ga kiswahili. ali join bbc akitokea mwananchi communications dsm.

kweli mkuu umenikumbusha na mwingine anaitwa pema martin yeye anatangaza dw radio na huyo me mwenyewe anayesoma ujumbe mfupi bbc ni mwanadada jina lake limenitoka kidogo
 
saumu mwasimba, thelma mwadzaya, prima martin, sekione kitojo, aboubakar lyongo, josephat charo, swalehe mwana milongo, na mwai gikonyo wa DW
 
kuna yule mtangazaji wa bbc anayesoma ujumbe mfupi wa maneno jina nimesahau, pia zuhra yunus, huyu napenda jinsi anavyotamka maneno ga kiswahili. ali join bbc akitokea mwananchi communications dsm.

Anaitwa Suluma Kasim sina uhakika na spelling
 
Hivi qualifications zao ni tofauti na hawa watangazaji wengine wa redio za bongo?mana ni kama wanaongea kwa ufasaha zaidi
 
Cha ajabu watangazaji wengi wa idhaa ya kiswahili bbc ni wakenya, kwa nini?
 
kuna yule mtangazaji wa bbc anayesoma ujumbe mfupi wa maneno jina nimesahau, pia zuhra yunus, huyu napenda jinsi anavyotamka maneno ga kiswahili. ali join bbc akitokea mwananchi communications dsm.

Anaitwa Soloma Kassim
 
Maxmillian Bushoke, Anderson Karlu, Mike Ararenge, Nzavoniva Abdallah wote CHANNEL AFRICA- SOUTH AFRICA. Aisha Yahya, Valery Msoka, Ally Mutasa, Ally Yusufu Mugenzi, Dauda Awesi etc Wote BBC
 
Wanatoka katika nchi gani za africa.....majina mengine sio ya kitanzania...
 
Maxmillian Bushoke, Anderson Karlu, Mike Ararenge, Nzavoniva Abdallah wote CHANNEL AFRICA- SOUTH AFRICA. Aisha Yahya, Valery Msoka, Ally Mutasa, Ally Yusufu Mugenzi, Dauda Awesi etc Wote BBC

haya mkuu ningejaribu kurekebisha jina moja hapo naye ni Dauda Aweth na wengineo uko sawa mkuu nimependa
 
Cha ajabu watangazaji wengi wa idhaa ya kiswahili bbc ni wakenya, kwa nini?

ufasaha wa lugha umezingatiwa watz weng uhuni umezidi kama cku ukipata muda ckia redio mawingu ndo utajua hata hiyo aljazeera swahili nadhan watanzania wachache ndo wawechagulhwa ukilinganisha na wakenya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom