Prema Martine!
Kuna mmoja anaitwa James Shimanyula!
aisee kama kuna sauti za
ajabu ambazo zinamvuto kwa wasikilizaji...mama oumilkheir analiongoza
jahazi hilo..first time nilihisi ana mafua kumbe ndo sauti ya kazi big
up kwake mama
Shakur Aboud anatangaza vizuri hadi raha aisee!!
Mama Oumlykhery Amidou bamkubali lakini kuna mmoja alikuwa anatangaza tangu mama yupo mdogo anaitwa . . . . Othuman Miraji
Masoud Masoud lini anakuwa hewani pale TBC taifa? Please, msaada wa muda
huyu wa DW, Humrykher ni mwanamke au manaume?