Watangazaji wanaokubalika katika Idhaa za Kiswahili

Funga kazi ni ile timu ya miaka ya tisini au kabla kidogo ya DW-Swahili bana! Enzi hizo wanatangaza kutoka Cologne. Ametajwa mmoja huko juu Othman Miraji, kulikuwa na somebody Ramadhani na wengine kibao... Yes mwingine Jacob Tesha, kwa huyu, Masako na mbwembwe zake zote anasubiri! Yaani ukikosea u-tune sauti ya Ujerumani, hutoki hadi wamalize! Habari, uchambuzi wa habari, mahojiano, uchambuzi wa habari za michezo... Hao watu walikuwa hatari kabisa.
 
Maxmillian Bushoke, Anderson Karlu, Mike Ararenge, Nzavoniva Abdallah wote CHANNEL AFRICA- SOUTH AFRICA. Aisha Yahya, Valery Msoka, Ally Mutasa, Ally Yusufu Mugenzi, Dauda Awesi etc Wote BBC
Mike Arareng dah jamaa yupo vizuri sana, anakuambia kaa nami nami nikae nawe hadi mwisho wa kipindi.
 
Back
Top Bottom