Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,804
OLESAIDIMU ndiye huy member hapa jf?
Ngoja aje akanushe!
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU ndiye huy member hapa jf?
Hk aliondkaga zmani snaDah, kill fm long time ago nikiwa o level nilikua naisikiliza sana.Hivi Halima Kassim (HK) bado yupo? Yule alikua anajitahidi sana.
We unacheka mi naonaga aibu kabisaaDah nimecheka sana.
hivi yule ni mwanaume kweli ?anord mosha baba la umbeya
Juzi kati tu hapa nilianzisha hii mada watu wakawa wananitukana na kunizodoaWakuu kuna redio ya Kili-FM ya Mkoa wa Kilimanjaro wanazingua, utangazaji wao dhaifu sana
mfano asubuhi wanakipindi cha mishemishe za kwetu, yaani hawana mpangilio wa maongezi na hadi kufikia muda mwingine wasieleweke wanaongelea nini.
Pia katika kipindi cha michezo ndio utacheka mtangazaji hata majina ya timu hajui kutamka, mifano Premier League yeye anasema premium league, Southampton yeye anasema South potom, yaan ni kanjanja wa hali ya juu.
Ili kuboresha radio yenu inayokuwa kwa kasi rudini shule mkasome.
hivi yule ni mwanaume kweli ?
hivi yule ni mwanaume kweli ?
hivi yule ni mwanaume kweli ?
hivi yule ni mwanaume kweli ?
hivi yule ni mwanaume kweli ?
hivi yule ni mwanaume kweli ?
ni mwanaume mkuu etihivi yule ni mwanaume kweli ?
Anold mosha khaaa km dadakwenye mishemishe kuna mkaka ana mipasho km mdada
Expensive Kaedaga wapNasikiliza The storm saivi, the big show in town.
Kujitafutia rizikiExpensive Kaedaga wap