Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

Kili FM radio, mpasua msonabari, was my favourite radio at that time of my studies at lyamungo sec school, Halima Kassim was my favourite host, kiukweli hii radio ilileta mapinduzi ya kiburudani mkoani Kilimanjaro, but if the tittle of the thread is real, then the management has to take an immediate measures!

Dah mzee hiyo sentensi yako ya mwisho si unge2mia tu kiswahili maana mwalimu wako wa english lyamungo unamuaibisha
 
hahahaha yani hakili hawana eti unakuta dj anafanya mix alafu yy anatangaza tena show niya masaa 3 nini kinafuata

Sasa wewe na wao unatofauti gani? Wao kuongea shida wewe hata kuandika hujui, sio hakili, ni akili
Hivi ina maana siku hizi walimu wa somo la kiswahili ndio hakuna mashuleni? Maana imekuwa tabu mno,
 
watangazaji wengi wa hiyo radio hata jina linawashinda kutamka badala ya Kili Fm wanasema KILL FM
 
Tatizo waajiri wanataka pesa haraka na ndo maana wanarecruit watu wasio na uwezo na hata uzoefu ili kutoa kitu bora,badala yake wanachukua cheap labour ilimradi matangazo yanaluka hewani ...anyway,with time labda watabadilika
 
Dah, kill fm long time ago nikiwa o level nilikua naisikiliza sana.Hivi Halima Kassim (HK) bado yupo? Yule alikua anajitahidi sana.

Nifah umenikumbusha mbali HK wakati huo ndio kili 2006
 
Ili kuwa nzuri enzu za Hawa kasimu (HK) ,Patrick Derick, Hawa Hassan, Ole Saidimu, na Dj chance nadhani wote hawa kwa sasa hawapo ndio maana imekuwa hovyo.
OLESAIDIMU ndiye huy member hapa jf?
 
Last edited by a moderator:
Daa hawa watu ndo wanziilishi walifanya kil fm ibambesana
Hk alikua anatangaza red pages na the storm
Dj chance.....aliku the storm
Dj okk......
Double hh.... hawa hasani..
Da wengine ni mewasahau ila waliifanya hii redio kua juu sana.... mimi na thani yule manjuuu aliyestaaafuu huko DW enzi hizoo...nakujakujiunga pale kill fm kam MD wapale alivyoo achia ngazi na redio ikapoteza muelekeo. Kabsaaa.....

Hawa hassan yuko capital radio sahivi.
 
Hakiyanani wiki mbili zilizopita nilikuwa Kilimanjaro nilishindwa kuamini ninachosikiliza uujjh kuna jamaa anajifanya kuchambua mambo ya afya uuupps aliongea utumbi ikabidi nitafute meta bend za clauz log aibu
 
Hakiyanani wiki mbili zilizopita nilikuwa Kilimanjaro nilishindwa kuamini ninachosikiliza uujjh kuna jamaa anajifanya kuchambua mambo ya afya uuupps aliongea utumbi ikabidi nitafute meta bend za clauz log aibu
Aisee !! Ila wenyeji si wanawasikiliza na kuwaelewa?
 
Back
Top Bottom