Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

......hiyo tisa mkuu bushlawyer, Kumi nilisikia wakisoma taarifa ya habari ya Kiingereza, Nilicheka mpaka
nikawa hoi. Hii lugha siyo yetu lakini wao wamezidisha kuchapia.
 
......hiyo tisa mkuu bushlawyer, Kumi nilisikia wakisoma taarifa ya habari ya Kiingereza, Nilicheka mpaka
nikawa hoi. Hii lugha siyo yetu lakini wao wamezidisha kuchapia.

hiyo nadhani kama wameacha maana pia walikuwa na kipindi wanatangaza saa 11 jion kwa kiingereza yani ni kituko, hawa jamaa ni kiboko
 
hiyo nadhani kama wameacha maana pia walikuwa na kipindi wanatangaza saa 11 jion kwa kiingereza yani ni kituko, hawa jamaa ni kiboko

icho kipindi cha jion ilikuwa ni balaa utafikir watoto wa kayumba hahahahah!!!
 
Uku mtwara nako kuna redio inaitwa pride ni kero tupu yaaani!!
 
Mangi yeye ni Biashara, na siyo kazi za kuajiriwa coz lafudhi zao tu, ni Shidaaaaaa plus na wapare
 
Dah, kill fm long time ago nikiwa o level nilikua naisikiliza sana.Hivi Halima Kassim (HK) bado yupo? Yule alikua anajitahidi sana.

Hahahahahaha nifah umenikumbusha huyu mtangazaji HK mtot Wa Majengo kwa Mtei jaman...Nimekumbuka home sana
 
Last edited by a moderator:
Siku ya fainali kombe la FA nimemsikia mtangazaji zaidi ya mara tatu akiutaja uwanja wa Wembley zilipofanyika fainali hizo kama uwanja wa Wimbledon, ni aibu!

sasa kama wanasoma vyuo vya dsj, royal, genesis na rider vya matapeli na wana magumashi watupu wewe unategemea uwe na waandishi?
 
Mimi Ninaushauri Kidogo,Hiyo Radio Waibadili Iwe Radio Ya Comedy Tu(killi Comedy Fm)maana Imefanikiwa Kuwavunja Mbavu Wasikilizaji Bila Ya Wao wenyewe Kujua!
 
Daa hawa watu ndo wanziilishi walifanya kil fm ibambesana
Hk alikua anatangaza red pages na the storm
Dj chance.....aliku the storm
Dj okk......
Double hh.... hawa hasani..
Da wengine ni mewasahau ila waliifanya hii redio kua juu sana.... mimi na thani yule manjuuu aliyestaaafuu huko DW enzi hizoo...nakujakujiunga pale kill fm kam MD wapale alivyoo achia ngazi na redio ikapoteza muelekeo. Kabsaaa.....
 
Back
Top Bottom