Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
- Thread starter
- #41
Daa hawa watu ndo wanziilishi walifanya kil fm ibambesana
Hk alikua anatangaza red pages na the storm
Dj chance.....aliku the storm
Dj okk......
Double hh.... hawa hasani..
Da wengine ni mewasahau ila waliifanya hii redio kua juu sana.... mimi na thani yule manjuuu aliyestaaafuu huko DW enzi hizoo...nakujakujiunga pale kill fm kam MD wapale alivyoo achia ngazi na redio ikapoteza muelekeo. Kabsaaa.....
Sa hivi kuna kanjanja anaitwa Nicholaus Cyprian huyo kwenye utangazaji wa kipindi cha michezo ndo utacheka hadi ufe, yaani inaonekana hafuatilii mambo maana matamshi nayo huitaji ufundishwe