Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Kwani diploma yako ulipata wapi vile
 
Andiko la TEC mnatafutana mpaka muda huu hamjapatana... Mliotaka kuwabambika kesi ya kindezi ya uhaini wako huru mnazidi kupoteana . nikwambie kitu. Hizi ni rasharasha tuu subiri next week
Hamna kitu mshana
Shida kelele za huku mitandaoni zinawapa kichwa kiuhalisia
Wananchi wameshtuka
Wanawachora tu
 
Sijui
Nakwambiaje. Andikeni nyaraka 10 na msizome kila siku miaka 5 mfululizo ila mkataba unaendelea na utekelezaji na hakuna kitu unaweza fanya.

Huu ni ukweli mchungu ambao nakwambia ubebe tu
Sijui mamb ya siasa ila ww ni Moja ya binadam wajinga wanaopatikana Tanzania..
 
Sijui

Sijui mamb ya siasa ila ww ni Moja ya binadam wajinga wanaopatikana Tanzania..
Jifunze kupokea mambo usiyopenda kuyasikia. Ndo ukweli wenyewe huo. Tumekwama sana kama taifa kwa kuendekeza fikra mgando za hovyo. Sasa lazima tusonge mbele. Nyie mnaopinga mkianza kula matunda mema ya maamuzi ya Serikali ndo mtakuja kujiona kwa namna gani mlivyokuwa wajinga
 
We umejuaje kama wanaounga mkono ni sababu za dini?!!!
Nyie mnaopinga hamfanyi hivyo sababu ya dini?!!! Kama ni kweli tuambieni ni lini mlipinga mikataba ya madini ya wazungu?!!!!

Mara hii umesahau sakata la makinikia?au unajitoa akili
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?

Ikiwa watu wameusoma huo mkataba na hawaja ona shida wewe unalazimisha waone shida tataizo ni la nani
 
Back
Top Bottom