Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Soma hapa kinachoitwa university malaya mimi nimekuwekea hii.. Twende kwa ithibati kiazi mbatata wewe

The University of Malaya (Malay: Universiti Malaya; abbreviated as UM or informally the Malayan University) is a public research university located in Kuala Lumpur, Malaysia. It is the oldest and highest ranking Malaysian institution of higher education according to two international ranking agencies,[5][6] and also the only university in the post-independent Malaya.[7] The university has graduated five prime ministers of Malaysia, and other political, business, and cultural figures of national prominence.View attachment 2721928
Hiyo ni Malaya, hata ujitetee vipi, wewe ni muongo tu, rudi juu kanisome tena.

Huwa sikisii.
 
Wewe umbwakoko kisebengo huwa nakupotezea lakini leo ngoja nikujibu
Hii habari si mara ya kwanza mimi kuandika hapa na sikuandika ili uamini pimbi wewe
Brother unapoteza credit humu jf kwa kasi ya 5G. Utanitukana na mimi lakini huo ndo ukweli.
Mtazamo wangu ni kuwa naona kama hoja hizi za bandari na mambo mengine yahusuyo vitu halisi kama huyawezi vileee. We kwenye yale mambo ya kufikirika una wafuasi wengi humu na watu wamekuamini huko zaidi. Angalia tu jinsi tunavyokimbilia mada yako ya mambo hayo na jinsi tunavyokuja polepole kwenye mada kama hii.

Msimamo wako mkali na hasi kabisa dhidi ya mama huyu (kwasababu zilizowazi na zilizojificha) anayeongoza nchi umeshaonekana na tumeshakuelewa......rudi kwenye mambo yetu yale.

Samahani tena, tunaweza kupata picha za huko chuoni tafadhali?!!!!
 
Uvumilivu sometimes una viwango vyake mkuu my apology
Bora umelitambua hilo! Unajua, katika hii familia ya Jamii Forum, wewe ni miongoni mwa watu wa mfano katika suala zima la hekima. Kuna wengi wanaokufuatilia na kukutumia kama role model wao bila hata wewe kujua, sasa ikitokea akakutana na comment yako ukiwa umeghafilika, anaweza akavunjika moyo.

Ila tumekuelewa mkuu!🙏🙏🙏
 
Bora umelitambua hilo! Unajua, katika hii familia ya Jamii Forum, wewe ni miongoni mwa watu wa mfano katika suala zima la hekima. Kuna wengi wanaokufuatilia na kukutumia kama role model wao bila hata wewe kujua, sasa ikitokea akakutana na comment yako ukiwa umeghafilika, anaweza akavunjika moyo.

Ila tumekuelewa mkuu![emoji120][emoji120][emoji120]
Naomba radhi tena na tena kwa hili lililotokea.. Sikuandika habari ya uongo na ilikuwa kama utangulizi kwenye mada yangu.. Just imagine mtu anakuja anakimbilia google kuku outsmart uonekane muongo
 
Jitu zima linaleta longolongo.

Huyo hata pipa haelewi ndani lina harufu gani.

Hajrmda popote, meongonhuyo.

Mwambieni aweke picha zake za nje ya Tanzania.

Angekuwa nazo angezijaza kwenye ule uzi wake anajipiga selfie. Halafu hana haya, misoxy imeliwa na mende, zimetoboka toboka, viatu vimelika soli unajuwa hivi vimetembea kilometer zisizopunguwa laki mbili. Halafu anajidai eti alikwenda kongamano la mabhuddha Malaysia.

Awache uongo.
 
Mkuu umepatwa na nini leo? Mpaka nimehisi kutaka kuogopa. Hii si kawaida yako!
Si muongo, nimembamba, sasa anahaha.

Amejishau kubambwa na mimi.

Leo huyo bado, kuna siku nilimbamba uongo alitapika, akaharisha mpaka akasema "nitakuloga".

Nikamwambia wewe wacha kumtishia nyau mtu mzima.
 
Mbaya zaidi mtanganyika wa imani ya dini ile anaongozwa vibaya na mihemko ya kidini na mazoea ya kuwa na mentality ya kuwa mtumwa wa mtu mweupe au manjano. Wamejisikia vibaya baada ya wakatoliki kutoa waraka wao kama kawaida yao wakati wengine si wakatoliki lakini hawakubaliani na mkataba huo tata. Utumwa ni mbaya sana na kuwa na akili za kitumwa ni dhambi, undugu wa kidini weka pembeni tetea urithi wa taifa kwa vizazi vijavyo
We umejuaje kama wanaounga mkono ni sababu za dini?!!!
Nyie mnaopinga hamfanyi hivyo sababu ya dini?!!! Kama ni kweli tuambieni ni lini mlipinga mikataba ya madini ya wazungu?!!!!
 
Unamkuta mtu mmoja ana kichwa kikubwa kabisa, anasema DPW wapewe bandari kwakuwa bandari imekuwa ikiendeshwa bila ufanisi.

Mtu mjinga kama huyo ameshindwa kabisa kufikiri na kuona aibu kwamba nchi yenye watu zaidi ya million 60 inakosa watu wa kusimamia bandari ifanye kazi kwa ufanisi na anashangilia ibinafsishe kwa Nchi ya ugenini.

Nchi hii ina watu wajinga sana, pengine kwa ujinga Duniani sisi tunashika nafasi ya kwanza, pili na ya tatu.
😂😂😂😂😂 Sasa mjanja mwenzangu ? Ni lini au mwaka Gani bandari ya tz🇹🇿 iliwaikufanya kazi Kwa ufanisi? Naona kila prezdar akiingia anafukuza wakurugenzi wa Tpa mara mbili
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Nkajua huo ubovu utautaja kumbe umekuja kutuambia 2000 ulienda malaysia [emoji23][emoji23][emoji23]

Aya asante
 
Naomba radhi tena na tena kwa hili lililotokea.. Sikuandika habari ya uongo na ilikuwa kama utangulizi kwenye mada yangu.. Just imagine mtu anakuja anakimbilia google kuku outsmart uonekane muongo
Tumeshakuelewa mkuu! Wanasema, "human beings are susceptible to errors"

Nimelikumbuka na lile somo lako: KAA KIMYA!

Tunaelewa, kwamba sometimes, mtu anaweza akukasirisha kwa bahati mbaya na wakati mwingine kwa makusudi.

Inapotokea ukabaini kuwa lengo la mtu ni kukukasirisha, ndipo lile somo lako: KAA KIMYA linapopaswa kuwekwa katika utendaji.

Hata hivyo, hakuna kilichoharibika.
 
Back
Top Bottom