Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
Endeleza vioja vyako tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio hoja sema vioja hapo sawa sikuwezi ama sitaki mashindano
Endeleza vioja vyako tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio hoja sema vioja hapo sawa sikuwezi ama sitaki mashindano
We kamtu una shida sana wewe, hebu ngoja nikuache. Tusijeanza kununiana wakati Mchana ungali bado mchanga huu.Q
Kijana, huwa sikisii.
Hakuna kongamano wala mkutano wa ma bhuddha uliofanyika Malaysia 2000.
Unaniandikia majina, ndiyo uth8bitisho wa kongamano huo? Majina na kongamano ni vitu tofauti.
Tena kasema chuo, chuo kipi hicho?
Msifikiri wote hapa JF ni wajinga ndiyo waliwao.
Bibi umetokea wapi? Leo hawajakuanika juani? Au ndio wamekuacha Hadi mida hiiSiku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.
Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".
Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:
University Putra Malaysia (UPM)
University Kebangsaan Malaysia (UKM)
Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?
Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Super glue unayo ya kuungiaYes! Here iam.
Mwanasheria makini mwenye hoja makini ambaye hadi sasa hakuna ufipa aliyeweza kunijibu hoja zangu juu ya mkataba huu.
Nasema tena naunga mkono mkataba huu wa ushirikiano baina ya Tz na Dubai kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo Bandarini.
Kuna wakati huko nyuma nilikwambia kila unapoamka asubuhi ukipiga mswaki usema Mshana Jr kasema mimi ni mpuuzi.. Na kukuasa urudie mara tatu..Hilo jina nimeshakuwekea juu hapo.
Hakuna kongamano la mabhudda lililofanyika hapo.
Usiseme uongo.
Mimi bado mwanafunzi, sijawacha kusoma.Mkuu, Chuo ulisoma wapi? Inaelekea madegree yako uliyachukulia kule "mambele!"
Nakwambiaje. Andikeni nyaraka 10 na msizome kila siku miaka 5 mfululizo ila mkataba unaendelea na utekelezaji na hakuna kitu unaweza fanya.Andiko la TEC mnatafutana mpaka muda huu hamjapatana... Mliotaka kuwabambika kesi ya kindezi ya uhaini wako huru mnazidi kupoteana . nikwambie kitu. Hizi ni rasharasha tuu subiri next week
Siku hizi kuna kitu kinaitwa "led sun light", iwe mvua, iwe mawingu, iwe barafu, unawasha ukiwa chumbani unakula jua mbadala. Swaafi kabisa.Bibi umetokea wapi? Leo hawajakuanika juani? Au ndio wamekuacha Hadi mida hii
Hii ndio picha yao halisi ni bora ccm anayewapa watu kesi za uhaini na ugaidi ukiwapinga kuliko cdm wakishachukua nchi ni dhahiri watakua wanawaua hadharani watakaowapingaNdo shida yenu. Mnahamasisha demokrasia alafu hamjui hata maana ya demokrasia. Mnahamasisha haki za kikatiba alafu hamjui hata maana yake. Nyie mnataka kila mtu awaze kama nyie alafu ndo mnajifanya wanademokrasia.
Kwa kifupi nyie ni wapuuzi tu! Tunaounga mkono mkataba wa Tz na Dubai tuna hoja na kama nyie mnadhani mna hoja endeleeni na hoja zenu.
Kumbe! Unasoma wapi kwa sasa?Mimi bado mwanafunzi, sijawacha kusoma.
Soma hapa kinachoitwa university malaya mimi nimekuwekea hii.. Twende kwa ithibati kiazi mbatata weweWewe hata kama umeandika mara elfu, waliokusoma hawajakustukia kuwa u muongo.
Mimi nilikustukia miaka mingi nyumq, nikawa nakuumbua uongo wako, ukaacha, sasq unaqnza kurudia uongo tena.
akumbuka, ukianza jsjisifu sijuwi nilikuwa wapi au wapi, naanza ku double check. Nakubamba uongo wako.
Wacha kudanganya vijana humu.
Inaongeza makasiriko hiyo LED sunlight ndio maana upo BITTERSiku hizi kuna kitu kinaitwa "led sun light", iwe.mvua, iwe mawingu, iwe barafu, unawasha ukiwa chumbani unakula jua mbadala. Swaafi kabisa.
Kuna wimbo wa Ken G nadhani unasema .. Don't fall in love with a dreamerNakwambiaje. Andikeni nyaraka 10 na msizome kila siku miaka 5 mfululizo ila mkataba unaendelea na utekelezaji na hakuna kitu unaweza fanya.
Huu ni ukweli mchungu ambao nakwambia ubebe tu
Moja ya sifa ya kujua kama mtu ni mjinga ni pamoja mtu huyo kuacha hoja ya msingi na kutengeneza mabishano ya vitu vidogo, so I am confident that you're one of the very stupid being alive.Wewe hata kama umeandika mara elfu, waliokusoma hawajakustukia kuwa u muongo.
Mimi nilikustukia miaka mingi nyumq, nikawa nakuumbua uongo wako, ukaacha, sasq unaqnza kurudia uongo tena.
akumbuka, ukianza jsjisifu sijuwi nilikuwa wapi au wapi, naanza ku double check. Nakubamba uongo wako.
Wacha kudanganya vijana humu.
You are a dreamer in this scenarioKuna wimbo wa Ken G nadhani unasema .. Don't fall in love with a dreamer