Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Kulikua na Mikutano zaidi ya mmoja
Screenshot_20230819-210359_Chrome.jpg

Mwingine huu

Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Ndo shida yenu. Mnahamasisha demokrasia alafu hamjui hata maana ya demokrasia. Mnahamasisha haki za kikatiba alafu hamjui hata maana yake. Nyie mnataka kila mtu awaze kama nyie alafu ndo mnajifanya wanademokrasia.

Kwa kifupi nyie ni wapuuzi tu! Tunaounga mkono mkataba wa Tz na Dubai tuna hoja na kama nyie mnadhani mna hoja endeleeni na hoja zenu.
 
Kulikua na Mikutano zaidi ya mmoja
View attachment 2721910

Mwingine huu

Hiki kiajuza hovyo sana kimekimbilia google na hata hiyo university anayosema haipo
Namnukuu.. Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".

Jina lililopo ni hili hapa.. Hiki Kimalay ambapo ukitafsiri kwa kimombo ni University of Malaysia ama Malaysia University
img-logo-UM.jpg
 
Ndo shida yenu. Mnahamasisha demokrasia alafu hamjui hata maana ya demokrasia. Mnahamasisha haki za kikatiba alafu hamjui hata maana yake. Nyie mnataka kila mtu awaze kama nyie alafu ndo mnajifanya wanademokrasia.

Kwa kifupi nyie ni wapuuzi tu! Tunaounga mkono mkataba wa Tz na Dubai tuna hoja na kama nyie mnadhani mna hoja endeleeni na hoja zenu.
Hapa ndipo uwezo wenu wa kujibu hoja unapoishia
 
Mama kayakanyaga aliemponza. Ni Rostam Aziz pekeee....Nilipomuona yuko inner circle ya mama nikajua hapa suala la muda tu. Kweli kamshika kijana wa mama wakapiga Zanzibar solar to grid.

Nikaona sawaaaa. Ikaja Omari Issa Maharage. Heerr ghafla nikaona Uganda....Similation .....Kufuatacho ....Dalali umeme atauzia uganda ....Etc ...Ra ndio dalali wa dpw....Sasa hawaelewani jk team.....Mama awe makini sana ....

Rais ajaye atawafunga gang lake lote ...Muda utasema
Hizo ni ramli chonganishi tu DpW lazma aje awekeze biashara haramu tena basi pale bandarini
 
Hiki kiajuza hovyo sana kimekimbilia google na hata hiyo university anayosema haipo
Namnukuu.. Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".

Jina lililopo ni hili hapa.. Hiki Kimalay ambapo ukitafsiri kwa kimombo ni University of Malaysia ama Malaysia UniversityView attachment 2721919
Yupo shallow sana, sema ana bidii ya kubishana, na ujasiri wa kuongea ambayo hana uelewa wa kutosha juu yake.
 
Q
Kulikua na Mikutano zaidi ya mmoja
View attachment 2721910

Mwingine huu

Kijana, huwa sikisii.

Hakuna kongamano wala mkutano wa ma bhuddha uliofanyika Malaysia 2000.

Unaniandikia majina, ndiyo uth8bitisho wa kongamano huo? Majina na kongamano ni vitu tofauti.

Tena kasema chuo, chuo kipi hicho?

Msifikiri wote hapa JF ni wajinga ndiyo waliwao.
 
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Mkuu, Chuo ulisoma wapi? Inaelekea madegree yako uliyachukulia kule "mambele!"
 
Hiki kiajuza hovyo sana kimekimbilia google na hata hiyo university anayosema haipo
Namnukuu.. Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".

Jina lililopo ni hili hapa.. Hiki Kimalay ambapo ukitafsiri kwa kimombo ni University of Malaysia ama Malaysia UniversityView attachment 2721919
Hilo jina nimeshakuwekea juu hapo.

Hakuna kongamano la mabhudda lililofanyika hapo.
Usiseme uongo.
 
Back
Top Bottom