Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,651
- 860,926
- Thread starter
- #81
Asante sana[emoji173][emoji1545][emoji419][emoji375]Tumeshakuelewa mkuu! Wanasema, "human beings are susceptible to errors"
Nimelikumbuka na lile somo lako: KAA KIMYA!
Tunaelewa, kwamba sometimes, mtu anaweza akukasirisha kwa bahati mbaya na wakati mwingine kwa makusudi.
Inapotpkea ukabaini kuwa lengo la mtu ni kukukasirisha, ndipo lile somo lako: KAA KIMYA linapopaswa kuwekwa katika utendaji.
Hata hivyo, hakuna kilichoharibika.