4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,208
- 8,310
kwan ww unajuwa vyuo vyote vya Malaysia ? au makongamano yote ya mwaka 2000 ya Malaysia unayajua? sijaelewa hoja yako ? kwan Malaysia ni ndogo kiasi gan mtu kujua matukio yote ya mwaka ktk nchi fulani?Wewe hata kama umeandika mara elfu, waliokusoma hawajakustukia kuwa u muongo.
Mimi nilikustukia miaka mingi nyumq, nikawa nakuumbua uongo wako, ukaacha, sasq unaqnza kurudia uongo tena.
akumbuka, ukianza jsjisifu sijuwi nilikuwa wapi au wapi, naanza ku double check. Nakubamba uongo wako.
Wacha kudanganya vijana humu.