Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Leo ngoja nisikilize na kusoma tamko la Wakatoliki Wasomi hawa jamaa wapo sawa sana kichwani na pia mambo yao mengi wamenyooka ndio maana wanaweza kuwakosoa wakosaji Nchi ya ajabu sana viongozi wanaoteuliwa kwa kutetea Ugali wanajifanya hawajui kitu...na katiba ingebadilishwa ili Mawaziri wasiteuliwe wawe huru kutoa mawazo na Spika nae vile vile...
 
Daah nimewasikiliza hoja zao ni zile zile za kwetu nasubiri kiongozi yeyote atoe Tamko kuhusu hawa Wawakilishi wetu maana Bunge na jamaa wengine wamekuwa wawakilishi wa DP Dunia...
Hoja zao zimechukuliwa mateka
848752f6e1340aab14d1acd1a8d481ac.jpg
 
Within 24 hours huu waraka wa TEC utasambaa nchi nzima kutokana na mfumo bora wa kupashana habari walioujenga kwa akili kubwa
Najiandaaa kwenda Kanisani Leo kusomewa Sasa wangefanya hivi na Kwa katiba mpya
 
Ndo shida yenu. Mnahamasisha demokrasia alafu hamjui hata maana ya demokrasia. Mnahamasisha haki za kikatiba alafu hamjui hata maana yake. Nyie mnataka kila mtu awaze kama nyie alafu ndo mnajifanya wanademokrasia.

Kwa kifupi nyie ni wapuuzi tu! Tunaounga mkono mkataba wa Tz na Dubai tuna hoja na kama nyie mnadhani mna hoja endeleeni na hoja zenu.
Me naona wengi wao hawana hoja zaidi ya kutia hoja za huruma za kusingizia Dini.
 
Tumekubali kuongozwa na akili ndogo.

Tumekubali kuwa chini ta elimu ya kuungaunga.

Watanganyika tumekubali kuwa chini ya watu wa hovyo.

Halafu hili libibi lisema hovyo linapenda kuharibu mada za wengine kwa ujuaji wake.
 
Alie kwambia elimu ya makaratasi ndio inatoa kiongozi mzuri ni nani??
 
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Mtu mzima anatafuta Bwana kwa nguvu Jf, huyo jirani wa upande ule umemshindwa?
 
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Sasa umeongea nini mama?
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Wachache watakuwa wamelamba hasali nawengine ufahamu
 
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Mama umepanic mein
 
Hiki kiajuza hovyo sana kimekimbilia google na hata hiyo university anayosema haipo
Namnukuu.. Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".

Jina lililopo ni hili hapa.. Hiki Kimalay ambapo ukitafsiri kwa kimombo ni University of Malaysia ama Malaysia UniversityView attachment 2721919
mshana nje ya mada kidogo..

Hivi hicho kibibi ulikifanyaje enzi za ujana wake, mbona kakikuona kila mara kanapandisha maruhani?
 
Back
Top Bottom