Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,741
Reaction score
861,143
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
 
Screenshot_20230819-195723~4.png
 
Unamkuta mtu mmoja ana kichwa kikubwa kabisa, anasema DPW wapewe bandari kwakuwa bandari imekuwa ikiendeshwa bila ufanisi.

Mtu mjinga kama huyo ameshindwa kabisa kufikiri na kuona aibu kwamba nchi yenye watu zaidi ya million 60 inakosa watu wa kusimamia bandari ifanye kazi kwa ufanisi na anashangilia ibinafsishe kwa Nchi ya ugenini.

Nchi hii ina watu wajinga sana, pengine kwa ujinga Duniani sisi tunashika nafasi ya kwanza, pili na ya tatu.
 
Kichaka pekee walichobaki nacho ni Dini na Jinsia, ni aibu sana.
Watu wanakosoa mkataba wao wanaona inayokosolewa ni Dini na Jinsia.
Mama kayakanyaga aliemponza. Ni Rostam Aziz pekeee....Nilipomuona yuko inner circle ya mama nikajua hapa suala la muda tu. Kweli kamshika kijana wa mama wakapiga Zanzibar solar to grid.

Nikaona sawaaaa. Ikaja Omari Issa Maharage. Heerr ghafla nikaona Uganda....Similation .....Kufuatacho ....Dalali umeme atauzia uganda ....Etc ...Ra ndio dalali wa dpw....Sasa hawaelewani jk team.....Mama awe makini sana ....

Rais ajaye atawafunga gang lake lote ...Muda utasema
 
Mama kayakanyaga aliemponza ...ni Rostam Aziz pekeee....nilipomuona yuko inner circle ya mama nikajua hapa suala la muda tu .....kweli kamshika kijana wa mama wakapiga zbar Solar to Grid...
...RA ndio dalali wa DPW....sasa hawaelewani JK team.....Mama awe makini sana ....
Rais ajaye atawafunga gang lake lote ...muda utasema[emoji3064][emoji848][emoji1544][emoji1550]
 
Mkolononi angelikuwa wa ile Dini wasingelishiriki harakati za kupigania Uhuru. Walishiriki kwasababu tu Mkoloni sio Wallah Fatiq.

Ndiyo maana Okero alipofanya mapinduzi ya zanzibar waliibuka na kusema ilikuwa ni njama ya Nyerere ya kuua uislam na waislamu Zanzibar.

Ukijua kilicho ndani ya nafsi zao basi umekaribia kujua kilichomo ndani ya black hole.
 
Ukijua kilicho ndani ya nafsi zao basi umekaribia kujua kilichomo ndani ya black hole.[emoji2827]
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo
Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
 
Back
Top Bottom