Alipoulizwa juu ya fursa zilizopo Tanzania, alisema, " Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo unaweza ukaenda ukiwa maskini ukarudi ukiwa tajiri".[emoji419][emoji375]Sikumbuki Gazeti, ila nililisoma miaka ya 2000 kipindi cha utawala wa Dr. Mkapa. Kwenye hilo Gazeti, kulikuwa na makala yaliyodadavua kile kilichosemekana mahojiano ya BBC na mfanyabiashara mwenye asili ya India.
Huyo mfanyabishara alitaka kuwekeza kwenye ufugaji wa Kamba, nafikiri, kwenye bonde la Mto Rufiji, lakini mpango wake ulikwama baada ya Serikali kumnyima kibali.
Alipoulizwa juu ya fursa zilizopo Tanzania, alisema, " Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo unaweza ukaenda ukiwa maskini ukarudi ukiwa tajiri".
Ngumu "kumesa"Serikali yote kwa ujumla haijawahi kufanya kazi kwa ufanisi ndio maana hadi leo huko DSM tu kuna mahali hawana uhakika wa maji safi na salama, kuna vijiji havina umeme, wanafunzi wanakaa chini.
Kama tutatumia kigezo cha kukosekana ufanisi bandarini, je, huoni kama itakuwa sahihi zaidi tukawapa Dubai nchi nzima waiongoze ili kuleta ufanisi?
Nimekaa mashariki ya Kati miaka 10 ckufarakanish na waislamu wenzio ila chunguza utakuja kujua. Vita zote nilizokutajia hao waarabu wanahusika. Kama ni uongo niambie hapa ni uongo. Ni kama vile wazungu wengi wameamua kuacha din wakaamua kuanzisha vitu vyao wanavyojua kama ushoga NK. Shida yangu kubwa kwa waislamu hasa hiz nchi masikin kuhc waarabu ni wasafi bro katika kusafir kwangu. Waarabu ndio waislamu wachafu wana roho mbaya. Waislamu wakarimu ni waturuki, Wamoroco na Uighur china ila hawa wengine nadhan ni tabia za makabila yao sio din.Sijisifii ila umemuandikia mtu ambaye angalau anafahamu yanayoendelea katika siasa za mashariki ya kati na jamii za kiislam. Unayaongelea kirahisi rahisi na kipropaganda mambo ambayo yako very complicated na unataka kuyatumia ili kujaribu kuwagombanisha Waislam wa Tz na ndugu zao wa ghuba na Saudia?
Ila ngoja nikae kimya na akili zangu fupi. Ila hizi propaganda zenu baadhi yetu tushazishtukia.
Within 24 hours huu waraka wa TEC utasambaa nchi nzima kutokana na mfumo bora wa kupashana habari walioujenga kwa akili kubw
Haya pole sana maana usharidhiwa na serikali inaenda malizia hivi pundeNdio ule ni mkataba ndio maana bunge likaupitisha na mahakama imethibitisha kama ni mkataba! Hiyo mingine siihitaji kwasasa kufanya ulinganifu ni kunitoa kwenye reli
Nchii hi bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan lengo la huo mkataba kuwa public ni ipi?Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?[emoji419][emoji375]
Jipe matumaini,Nakwambiaje. Andikeni nyaraka 10 na msizome kila siku miaka 5 mfululizo ila mkataba unaendelea na utekelezaji na hakuna kitu unaweza fanya.
Huu ni ukweli mchungu ambao nakwambia ubebe tu
Umeitendea haki heading na maudhui yake!Nchii hi bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan lengo la huo mkataba kuwa public ni ipi?
Serikal ingekua haitak maoni kulikua na haja gan hio IGA kuwa out [emoji2369]
Mnajifariji eti hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji bali wanapinga vipengele.Vipengele vyote vimekwisha elezewa vizur kabisa binafsi nilijipa muda kujua nin ni nini nashukuru mungu nimejua ukwel. KETE YA UDINI IMESUKUMWA WALAKA WA TEC UNAFIKIRISHA SANA NAJIULIZA WALIWEZAJE KUISHWAWISHI SERIKAL KWENY ILE MoU Kwa akili hizi [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Unapinga mkataba eti kisa mkataba unatuhitaji kumjulisha Dubai FURSA zilizopo nchi like seriously [emoji1787].
Eti mkataba unahitaji tubadirishe baadhi ya sheria zetu. Jaman jaman hii nchi INAHITAJI uzalendo kuliko hisia
Tanganyika siyo nchi ya kidini.yemen , djibout na somalia nako kwa wagalitia mbona wamekataa dp world , ebu amka asee , waarabu wa sudan wanawaiten watumwa kisa akili kama hizo
Aacha uongo yaelekea haujui nini kinachoendelea nchi hii, ni nani aliuweka mkataba public? Ni kiongozi gani huyo na ilikuwa ni nilini?Nchii hi bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan lengo la huo mkataba kuwa public ni ipi?
Serikal ingekua haitak maoni kulikua na haja gan hio IGA kuwa out [emoji2369]
Mnajifariji eti hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji bali wanapinga vipengele.Vipengele vyote vimekwisha elezewa vizur kabisa binafsi nilijipa muda kujua nin ni nini nashukuru mungu nimejua ukwel. KETE YA UDINI IMESUKUMWA WALAKA WA TEC UNAFIKIRISHA SANA NAJIULIZA WALIWEZAJE KUISHWAWISHI SERIKAL KWENY ILE MoU Kwa akili hizi [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Unapinga mkataba eti kisa mkataba unatuhitaji kumjulisha Dubai FURSA zilizopo nchi like seriously [emoji1787].
Eti mkataba unahitaji tubadirishe baadhi ya sheria zetu. Jaman jaman hii nchi INAHITAJI uzalendo kuliko hisia
Wakiona wanalipewa harua na tende wanashangilia eti ndio dini hiyo inaukubali mkataba, JINGA KABSA JAMAA.Tanganyika siyo nchi ya kidini.
Wanaoukataa mkataba mbovu si Wagalatia, ni Watanganyika Wazalendo wa dini tofauti.
Wamo wa dini za asili!
Wamo Wakristo!
Wamo Waislamu!
Wamo na wa dini zinginezo.
Kuna vitu vinachekesha hope ulisikia mtu anasema hakuna faida tutakazopata .HAYA NAKUJUZA WEW NA HAO WENZIO MSIOFATILIA VITU ,ZIFUATAZO NI FAIDA ZA UWEKEZAJI [emoji116]kuna vitu haviitaj akili kubwa , unaunga mkono kitu hujui ukomo wake , hujui maslai yetu , umeoneshwa mpk conditions za mwekezaj bado unasema unaunga mkono , kama sio mwehu tukuiteje? hata waarab tukigeuza huu mkataba wao watupe bandari ya kwa mkataba huu sio waarab tu dunian kote hawataukubali km Yemen , Djibout na Somalia , ila bongo ndo tunawakuta wajinga kama nyiny mnadai mna hoja [emoji23][emoji23][emoji23] ebu lete hoja zenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we unafikir ulivuja kwa bahati mbaya.Aacha uongo yaelekea haujui nini kinachoendelea nchi hii, ni nani aliuweka mkataba public? Ni kiongozi gani huyo na ilikuwa ni nilini?