Nahusika na nilichoandika sihusiki na ulovyotafsiriDhamira ya andiko lako imeficha kabisa matumizi ya hiyo alama.
Uliplan kuficha ulichokusudia kwa hiyo alama, ila dhamira yako imekuwa wazi Kiasi cha hiyo alama kukosa maana kwenye uandishi wako.
Asante kwa kunielewa, Naimani wakati mwingine utaheshimu mawazo ya watu wengine huku ukiendelea kuamini unachoamini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unataka kujaribu kusema nini?Nchii hi bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan lengo la huo mkataba kuwa public ni ipi?
Serikal ingekua haitak maoni kulikua na haja gan hio IGA kuwa out [emoji2369]
Mnajifariji eti hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji bali wanapinga vipengele.Vipengele vyote vimekwisha elezewa vizur kabisa binafsi nilijipa muda kujua nin ni nini nashukuru mungu nimejua ukwel. KETE YA UDINI IMESUKUMWA WALAKA WA TEC UNAFIKIRISHA SANA NAJIULIZA WALIWEZAJE KUISHWAWISHI SERIKAL KWENY ILE MoU Kwa akili hizi [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Unapinga mkataba eti kisa mkataba unatuhitaji kumjulisha Dubai FURSA zilizopo nchi like seriously [emoji1787].
Eti mkataba unahitaji tubadirishe baadhi ya sheria zetu. Jaman jaman hii nchi INAHITAJI uzalendo kuliko hisia
Ukweli usemwe tu, nyie mnamatatizo ya akili fullstop.Hao unaowaita hawana akili wanao uhuru wa kutoa maoni yao, na hiyo Ndiyo demokrasia.
Ila kujiona mawazo yako ni bora kuliko wengine na kuwaita hawana akili ndo kutokuwa na akili kwenyewe huko, Kwa sababu kama unaakili timamu utaheshimu mawazo yao na utaendelea kusimamia msimamo wako kwa kile unachokiamini
Acheni ushamba, wale wanaoona mkataba uko sawa wasikashifiwe Kwa sababu hawajamzuia yeyote kuupinga mkataba
Andiko hubeba dhamira, tunaposoma andiko hatuishii kuangalia tu ulichoandika, tunaangalia ulichoandika kimebeba nini ndani yake, ulikusudia kuwasilisha nini, Au unamaanisha nini.Nahusika na nilichoandika sihusiki na ulovyotafsiri
Ni mihemko ya ujana tu inakusumbua, ukikua utaacha kutukana watu wanaokinzana na mawazo yako.Ukweli usemwe tu, nyie mnamatatizo ya akili fullstop.
Reli na bwawa mbona anajenga Muislamu Tena wamepewa na JPM na hakuna shidaSijui kama watakubali kukuelewa!
Ni haki yako na ya wengine kibinadamu na kikatiba!!!Andiko hubeba dhamira, tunaposoma andiko hatuishii kuangalia tu ulichoandika, tunaangalia ulichoandika kimebeba nini ndani yake, ulikusudia kuwasilisha nini, Au unamaanisha nini.
Asante kwa kunielewa Naimani utaendelea kuheshimu mawazo ya watu wengine kwasababu hayakuzuii kuamini unachoamini
Aisee hii nchi inasikitisha sana. Hiv unajua hii treni ikiwa tayar na wakaipa mabehewa ya kutosha unajua itakuwa malor mangap. Hiv unajua hiyo HGA kwenye huu mkataba wa IGA wanasema itakuwa ni Siri kati yao na serIkali hii hii inayokubali mkataba mbovu au hujasoma hicho kipengele mzee.
MKATABA NI MZURI HAPO VIPUnataka kujaribu kusema nini?
Hizi takataka siwezi kuzizingatiaNimekaa mashariki ya Kati miaka 10 ckufarakanish na waislamu wenzio ila chunguza utakuja kujua. Vita zote nilizokutajia hao waarabu wanahusika. Kama ni uongo niambie hapa ni uongo. Ni kama vile wazungu wengi wameamua kuacha din wakaamua kuanzisha vitu vyao wanavyojua kama ushoga NK. Shida yangu kubwa kwa waislamu hasa hiz nchi masikin kuhc waarabu ni wasafi bro katika kusafir kwangu. Waarabu ndio waislamu wachafu wana roho mbaya. Waislamu wakarimu ni waturuki, Wamoroco na Uighur china ila hawa wengine nadhan ni tabia za makabila yao sio din.
Ongoza familia yako inatoshaPia tuelewe kuwa Serikali kushindwa kudhibiti wahalifu wanaohujumu mashirika wakati kuna vyombo na mihimili ya kisheria ni Serikali kushindwa kuongoza nchi!
Mbona hilo lipo wazi?
Magufuli alipokuwa akifukuza na kudhalilisha wabadhirifu, walimchukia sana.
Kumbe chuki zao zililenga kupalilia matendo yao haya ovu tunayoyashuhudia sasa!
Hajui malaya ndio Malaysia yenyewe kama zaire na Zambia kama sikoseiHiki kiajuza hovyo sana kimekimbilia google na hata hiyo university anayosema haipo
Namnukuu.. Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Jina lililopo ni hili hapa.. Hiki Kimalay ambapo ukitafsiri kwa kimombo ni University of Malaysia ama Malaysia UniversityView attachment 2721919
Within 24 hours huu waraka wa TEC utasambaa nchi nzima kutokana na mfumo bora wa kupashana habari walioujenga kwa akili kubwa