Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Wamesahau udini kaleta kiongozi wao badala ya kukosoa mkataba akaingiza ukabila na kuhoji hakuna wawekezaji wengine isipokua hao waarabu tu.

Kauli hizi za kichocheI wanajisahaulisha

Busara za waislam zinahitajika kunusuru machafuko mana hao wananchi wanao ungwa mkono na balaza lao ndo hao hao wenyewe.

Kiuhalisia wananchi tumewakilishwa bungeni
Bunge lipi? Hili bunge la mahoka?
 
Screenshot_20230820-111957~4.png
 
Mkuu hilo unalolilaani kila great thinker hawezi lifanya.

Isipokuwa kwa muktadha wa Bandari tunashitukia tumeingizwa mkenge wa kujadili itikadi za kidini bila kujua ama kutaka!

Unaijua mbinu ya watawala kuivuruga jamii ya divide and rule, ndiyo hii sasa ujue!

Mjadala umechepushwa kutoka kwenye uhalisia na sasa tunagonganishwa vichwa kwenye udini, ukanda na Utanganyika!

Hivi dini zinaingizwaje kwenye mkataba huu?

Umoja tunaoimbishwa kuwa tunao, je tunao kweli iwapo kila mtu anatetea dini yake badala ya kuitetea jamii aliyomo?

Umoja maana yake ni mseto wa dini, kabila tamaduni mbali mbali katika jamii wanaostahiana na kuvumiliana na kila mmoja akielewa kuwa hakuna aliye bora kuliko mwenzake!

Na ninavyoona mimi, mpasuko unapaliliwa na viongozi wa dini wanapotoka hadharani kuitetea serikali kuwa walichofanya ni chema bila ya kupima upepo jamii inataka nini katika suala hili.

Mimi ni mtu ninayeamini katika umoja wa kijamii, nikiamini kuwa, mtu unapoegemea itikadi za dini wakati jamii tuliyomo ina dini kamchanganyikeni huwa ni kuusambaratisha umoja uliopo.
Ukiyasema haya kumbuka pia
Mgawanyo huu haujaletwa na watawala yule mkasikazini ndo alotaja uzanzibar na uwarabu hembu jikagueni kwanza kabla ya kuhamisha ajenda
 
Hi
Nina heshima kwa watu Wote hata wale wajinga kabisa.. Nina staha kubwa na uumbaji nina hofu ya Mungu usinilishe maneno nisiyosema.. Nasimama na maandishi yangu sihusiki na tafsiri zako

Halafu naomba UKOME kunitisha! Sikutishika ughaibuni ndio nitatishika nyumbani!?
Huo ndio ujasiri na msimamo thabiti wa kuutetea na kuulinda ukweli. Kongole!
 
Ikiitishwa kura ya wazi DPW inapita vizuri sana.

Ukipita kwenye vijiwe na kuuliza watu kuhusu bandari asilimia kubwa wanasema wao imradi wanafanya mambo yao bila kuingiliwa hayo hayawahusu maana bandari imekuwepo miaka na miaka ila haijawahi wasaidia kujenga au nauli
 
Ukiyasema haya kumbuka pia
Mgawanyo huu haujaletwa na watawala yule mkasikazini ndo alotaja uzanzibar na uwarabu hembu jikagueni kwanza kabla ya kuhamisha ajenda
Mkuu ungenielewa, wala usingenihusisha na mada za ukanda na udini, maana hata huyo "mkaskazuni" simfahamu.

Mimi si muumini hata kidogo wa mambo hayo.

Furaha yangu huletwa na umoja usio na ubaguzi, kinyume na hayo huwa sishiriki.
 
Laiti waislamu wa TZ wangejua hakuna waarabu wabaya kama hao waarabu wa UAE, Qatar,na Saudia. Hawa jamaa kwa kushirikiana na wazungu hasa Amerika ndio waliotoa pesa kugharamia vita iliyomuua Ghadafi mzungu katoa ndege wao wakatoa pesa. Hawa ndio waliokuwa wanatoa pesa kugharamia vita Syria. Mzungu anatoa silaha wao wanatoa pesa. Wao ndio wanapiganisha vita hapo Yemen. Mzungu anatoa silaha wao wanatoa pesa. Hata hiyo vita hapo Sudan wanamkono hapo. Pale Libya kama sio mturuki hii serIkali mpya walikuwa washaitoa mamlakan siku nyingi kupitia Haftarah general. Hawa watu ukiwaona utadhan ni watu wa dini lakin deep down wanamuunganiko na marekan wa kufikia malengo yao machafu. Hata hapa kwetu ninaamin kuna mkono wa mmarekan maana naamin alistuka sana kikwete alipokuwa anataka kuwapa Oman na wachina kujenga bandar ya ukweli hapo. Coz walijua mchina atamiliki uchumi wa huu ukanda wa maziwa makuu. Hizi ni games za uchumi wa kidunia. Sasa ukimuona mtu anaeshindia maharage anaongea hovyo unamsamehe tu. Hawajui hii dunia inaendeshwaje. Jaman hao watu waliotuletea dini cku hiz hawana dini tena wana maslah ya pamoja kututawala. Sasa hiv Africa ndio eneo pekee limebaki na resources so amken guys tunaenda kuliwa live.
Natamani hili andiko lipewe sticker kubwa sana na iliyokolezwa rangi[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Nanukuu

"Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo
Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli"

Ni watu wachache sana wa Tanzania wanaoijua hii siri Mshana Jr
Alikuja mvimba macho wa kamali na kibegi mkononi akaondoka nchini baada ya miaka mitatu na 40 billion taslimu.. Mpaka leo anatushukuru wabongo kwa ujinga wetu
 
Ikiitishwa kura ya wazi DPW inapita vizuri sana.

Ukipita kwenye vijiwe na kuuliza watu kuhusu bandari asilimia kubwa wanasema wao imradi wanafanya mambo yao bila kuingiliwa hayo hayawahusu maana bandari imekuwepo miaka na miaka ila haijawahi wasaidia kujenga au nauli
Hizo comments wewe unaona zinatoka kwa watu wenye akili timamu na wanajitambua?
Kuna tofauti gani na yule mzee aliyesema: "kwetu sisi watu hawataki mambo ya katiba, wanataka maji"?
 
Hakuna mkristo anakupenda ndugu yangu ,chuki ni kubwa kuwa makini sana .

Mfano dini hzifungamani na siasa ila waandika waraka na kulazimisha wafuasi wafuate ,huoni kama ni chuki ...Huko twitter kila mtu ana kejeli elimu ya sharia kwamba eti hawaijui wanajua zile za wazungu ...Haya mambo yalishaonekana mda sana ni wadini sana.

Nimesoma kanisani so najua hawawezi kupita siku lazima watoe tamko la chuki dhidi ya waislamu au kusemana wao kwa wao kwa sababu ya madhehebu..chuki zao ni kubwa sana tangu uhuru
Ni kweli, 3:119 imemaliza!
 
Back
Top Bottom