Gwappo Mwakatobe
R I P
- Nov 22, 2019
- 1,796
- 2,345
Kwa wale wenye akili, naomba tujadili ubovu wa vipengele (maudhui) vya mkataba ambavyo vimeibuliwa na maaskofu kuliko kuwajadili wao na imani zao ambazo hazimo kwenye mkataba.
Kubwa kuliko yote, baada ya miaka 60 ya uhuru tungeelekeza nguvu zetu katika kuimarisha uwezo wetu wa kuendesha, kusimamia na kudhibiti wenyewe bandari zetu.
Kama hatuwezi kutafuta maarifa na teknolojia ya kupakia, kupakua, kuhifadhi na kusafirisha mizigo tutaweza kipi??!!