Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
"chief" ndo nini ladyfurahia
Last edited by a moderator:
jamani marafiki wote mlioko darwing muwepo siku hiyo ya tarehe 06/07/2013 jioni pale leo tupo hapa kwani kutakuwa na shindano la kumchagua mwimbaji bora na atapewa award certificate na zawadi ya ushindi kwa washindi watatu na vilevile tutamtafuta mtunzi bora wa wimbo maalum wa unaohusu CC Jforum .
Vigezo vinavyotakiwa kwenye wimbo huo lazima:
a) kuwe na mpangilio wa vina, silabi na ghani kama ni shairi au ngonjera.
b) kuwe na mtiririko au mpangilio wa maneno yenye mvuto.
c) kuwe na maneno yanayomtukuza Mungu na sio majanga.
d) kuwe na ulinganifu wa matamshi, au silabi, na na beti 2 na kiitikio (chorus) 1
e) kama ni hiphop basi ilinganie vyema kimaneno na sio kujiimbia tu ilimradi.
wafuatayo ndio watakuwa kwenye kinyang'anyiro na mchujo wa kumpata mwimbaji aliyebora wa cc 2013 Bujibuji, watu8, Passion Lady, sweetlady, Lady doctor, Mwita Maranya, amu, Madame B, madame x, Mamndenyi, laizer, Donn, MKALIwakitaa, figganigga, steven Jr. Masatu, stevoh, Erickb52, Filipo, KakaKiiza, gfsonwin, Asprin (atakuwa chief), Paloma (atakuwa chief), Lady Unbreakable, charminglady Catherine Danzi na weingineo waishio dar kama wako na wale wanaotoka mikoani watakuwa na shindano hukohuko upcountry kwao hivyo msikose hiyo tarehe 06 july jamani waambie na wengine tangazo hili
oky ila hapo serena ndugu yangu si kwa watu special ndugu yangu? cause umesema itabidi nijitahidi kuwepo, na itabidi Mtambuzi nae awepo
"chief" ndo nini ladyfurahia
my dady watu8 na my huby Ruttashobolwa
hawajui kuimba,watoe tu maana nitacheka hiyo siku
halafu iwe balaa kwa husbnd na kwa mshua!!
ndio mimi hapa maelezo zaidi njoo chemba....
kweli unahitaji delivarence ya siku tatu!!
tuombe tu ndani kwa ndani mpaka ukombolewe!!
siamini ladyfurahia kuhudhuria kote kule mazoezi ukanisahau
samahani bestito kwani ukunipa karatasi ya wimbo wako ndo mana nikasahau nilivyoangalia ile list ya nyimbo naomba uanze kutiririsha wimbo hapa ili uchujwe na majaji na tupate wimbo maalum bora unaohusu Chitchat jamiiforum kwa mwaka 2013
"chief" ndo nini ladyfurahia
haya ngoja nianze kutunga mashairi
sauti yangu najijua am the best at it.....
ndio maana hata Jiwe Linaloishi aliniita kule mlango wa uwani
nimekuja chemba sijakuona...........nimeenda hadi chemba skwadi nimekutana na :majani7::majani7::majani7:!!!
na hata hiyo chief nishajua kama vipi njoo basi tujumuike!
haya ngoja nianze kutunga mashairi
sauti yangu najijua am the best at it.....
ndio maana hata Jiwe Linaloishi aliniita kule mlango wa uwani
Mi nitakuwa Meneja wa kwaya...
nimekuja chemba sijakuona...........nimeenda hadi chemba skwadi nimekutana na :majani7::majani7::majani7:!!!
na hata hiyo chief nishajua kama vipi njoo basi tujumuike!
usijali unajuaje kuwa wewe pia ni special kwangu.... mtambuzi tutamwalika katikati ya kikao
Mi nitakuwa Meneja wa kwaya...
kweli kabisa... andaa madhabahu ya kuombea soon ntakuwa huko na mazoezi ya kuimba pia tutafanya...