Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Bora umesogeza tarehe labda naweza pata nauli yakujakushiriki
Wakaribishwa best tena sana
HABARI
Lile shindano la kumtafuta mwimbaji bora, mtunzi na wimbo bora
wa chitchat hapa ambalo lilikwenda kwa juma la wiki 2 na nusu sasa.
Natangaza rasmi kuwa limefungwa kutokana na sababu za kiufundi na
za msingi sana zilizo nje ya uwezo wetu kwani tulitegemea tulifanye
pale LEO TUPO HAPA PUB na tutafute mshindi atakayepokea award hiyo
Hivyo wasomaji na wachangiaji wetu na wale ambao waliwekwa kwenye
kinyang'anyiro hicho cha kumsaka mshindi bora wasijisikie vibaya sana
tutalipeleka miezi ya mbele yaani August - October 2013 kwa kile
tunachosema kuwa tumekosa barunzi machine, ile ya kuingizia instruments za
music ili waimbaji waimbe kuipitia hizo beat. Hivyo lile shindano halitafanyika
tarehe 06/07/2013 bali tutafanya kuanzia mwezi wa nane na kuendelea
pindi tukipata mashine hiyo.
Samahani sana kwa usumbufu uliojitokeza waungwana wangu, na wapenzi wangu
Mara upatapo notice hii mwambie na rafikiyo wa cc mwenzako.
Aksante kwa kunielewa.
NAWAKILISHA
rgds
View attachment 100922
MRATIBU WA SHINDANO
LF
dah!!ngoja nijitahidi
kukusanya nauli ili huo mwezi
ukifika na mm nije kushiriki!!
ewaaaaa hapo umenenaniko arusha ntakupitia tuje wote ila kutokana na safari kuwa ndefu tutalala tanga........then kesho yake tuibukie dar mapema
ewaaaaa hapo umenena
na tukilala tanga ili kubana matumizi
inabidi tulale room moja kabisa!!
hahaha na ili kukwepa baridi iwe kitanda kimoja ila mzungu4
afu mi nitalala na combati kabisa
kumkataa shetani na mambo yake yote
na mitego yake yot teh
​uwiiiiiii eeeeee mi utanitega!mi ntalala naked ili kuonyesha ujasiri wa kumshinda shetwani kabisa
​uwiiiiiii eeeeee mi utanitega!
HAHAHaaa hapana hiyo ndio njia ya kupata upako.........
etii niiniii! nyie mnaongea kitu gani hapa? hamjui kuwa mnajichafua miili yenu ambayo ini hekalu la Mungu mnajitia najisi kwa maneno yenu? hebu tengueni hiyo lugha mliyoongea hapa jamani mnaondoa upako wa hii thread
HAHAHaaa hapana hiyo ndio njia ya kupata upako.........
​ jiwe linaloishi tengua kauli mi simo!!etii niiniii! nyie mnaongea kitu gani hapa? hamjui kuwa mnajichafua miili yenu ambayo ini hekalu la Mungu mnajitia najisi kwa maneno yenu? hebu tengueni hiyo lugha mliyoongea hapa jamani mnaondoa upako wa hii thread
yesu na maria swahiba
upako wa hivyo kweli akhaa mie
Yesu na Yosefu............ heri wanaoamini bila kuona kuliko nyie mnaosubiri kuona ndio muamini