Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
mi ntakuja kuimba sauti za mbinguni ninazoimbaga na wazee wanne watupao taji zao
Habari zenu bandugu
Nafurahi kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vyema
nashughuli zenu,
Leo nimeonelea niwaletee waimbaji watakao kuwepo katika Tamasha
la Usiku wa Furaha wa KiCHITCHAT utakaofanyika pale LEO TENA PUB
Tarehe 7/7/2013 na wakataofanya vizuri sana watapewa ZAWADI
Wafuatao ndo wako kwenye mazoezi ya vitendo ili kuipambisha siku hiyo special
View attachment 98932 hawa walijipanga ili kupiga picha ya pamoja kushoto Elli
anayefuata kushoto ni Lady, Filipo, Mwali, KakaKiiza na Mentor
Weingine ni hawa ni ndugu wa familia 1 ya watu8 wao walijituma zaidi kivitendo
na wako kikazi zaidi angalia hapo wakikamua yaani ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Lady Unbreakable, sweetylady, na Passion Lady
Wengine ni hawa hapa wakifanya vitu kabla ya shindano hilo kufika kilele chake
View attachment 98934 hawa ni gfsonwin na sweetlady
mwangalieni Paloma hapa naye yumo ndani ya practice stage
na huyu Smile alikuwa anasinzia kwa uchovu wa mazoezi kwani
niliwapa tizi ile baabkubwa si unajua tena mm ndo mwalimu wao
nataka kitu kitokee kizuri ona hapa
View attachment 98936 acha kusinzia nenda kwenye mazoezi
Mwita Maranya naye kwa vituko acha tu
anamfundisha mtu namna ya kupiga piano hapo
ndani ya mazoezi ladyf nikikamua
jamani hii picha imegoma jamani nifanyeje itoke hapa
Picha zingine angalieni hapo chini zimegoma kuwekeka my friend
wa mwisho ni Kipaji Halisi akiwa kivyake vyake
na weingine hawakujitokeza kwenye mazoezi siku hiyo nao ni Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Nicas Mtei (huyu sijui kama yuko kweli), Ruttashobolwa, stevoh, Donn (njoo upige gitaa), Mr Rocky, Erickb52 ( keyboard inatukodolea macho kwanini huji kwenye zoezi), The Boss, Chimbuvu ( tunakuitaji sauti ya 4), Heaven on earth, AshaDii (sauti ya 1 mama), Bujibuji (sauti ya 3 uko wapi), Zion Daughter (sasa huyu kaadimika kweli sauti 2 njoo), Asprini ( wewe sauti ya zege yakufaa zaidi), Bakulutu, Excellent (sauti ya 3 njoo), ruttashobanyuma (uko wapi), Arushaone (usikimbie tizi wewe), na weingine sikupata majina yao
naomba mniorodheshee majina yao hapa wawepo kwenye orodha ya
waimbaji wa ChitChat. KARIBUNI TUBORESHE MASS PRAISE YETU